Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20.
Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi.
Huyo aonekanaye kwenye picha ana majina mawili tofauti na anamiliki vitambulisho viwili tofauti.
Jina lake halisi ni FAUSTINE NYAKIRE JOHN
Mwenye namba za NIDA - 19931205315040000122
Kwa taarifa za NIDA Ina maana ana Miaka 29
Jina lake bandia alilotumia kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda ni MOHAMMED JUMA MSAFIRI.
Aliyezaliwa tarehe 05/12/2002
Ana umri wa Miaka 20
Kama wanachama wengine wanaondolewa kwa kufoji umri na vyeti vya kuzaliwa uhalali wa huyu Mwenyekiti mdogo kuliko wote Tanzania kuendelea kushika madaraka unatoka wapi?
Nani yupo nyuma ya huyu hadi anakingiwa kifua?
KWAKO STUDIO, KWAKO KENANI KIHONGOSI.