Kutana na M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda mwenye umri wa miaka 20

Nimekumbuka siku moja nioikutana na jamaa kavaa nguo za CCM,ananiambia eti ni kiongozi wa UVCCM,nikabaki nacheka,ila alishtukia,baadae tukapigiana simu,tukacheka kinoma.Fojari inafanyika sana.
 
View attachment 2419091

Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20.

Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi.

Huyo aonekanaye kwenye picha ana majina mawili tofauti na anamiliki vitambulisho viwili tofauti.

Jina lake halisi ni FAUSTINE NYAKIRE JOHN
Mwenye namba za NIDA - 19931205315040000122
Kwa taarifa za NIDA Ina maana ana Miaka 29

Jina lake bandia alilotumia kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda ni MOHAMMED JUMA MSAFIRI.
Aliyezaliwa tarehe 05/12/2002
Ana umri wa Miaka 20

Kama wanachama wengine wanaondolewa kwa kufoji umri na vyeti vya kuzaliwa uhalali wa huyu Mwenyekiti mdogo kuliko wote Tanzania kuendelea kushika madaraka unatoka wapi?

Nani yupo nyuma ya huyu hadi anakingiwa kifua?

KWAKO STUDIO, KWAKO KENANI KIHONGOSI.
mbona anaonekana kama ana 45, au anazeeka kwanza afu ndipo arudi ujana.
 
Hahahhaha kama woman king iv😂😂kijana anaonekana ndogo kabsa
 
ANATOFAUTI GANI NA HUYU MWENYE MIAKA 19[emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1717630641.jpg
 
View attachment 2419091

Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20.

Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi.

Huyo aonekanaye kwenye picha ana majina mawili tofauti na anamiliki vitambulisho viwili tofauti.

Jina lake halisi ni FAUSTINE NYAKIRE JOHN
Mwenye namba za NIDA - 19931205315040000122
Kwa taarifa za NIDA Ina maana ana Miaka 29

Jina lake bandia alilotumia kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda ni MOHAMMED JUMA MSAFIRI.
Aliyezaliwa tarehe 05/12/2002
Ana umri wa Miaka 20

Kama wanachama wengine wanaondolewa kwa kufoji umri na vyeti vya kuzaliwa uhalali wa huyu Mwenyekiti mdogo kuliko wote Tanzania kuendelea kushika madaraka unatoka wapi?

Nani yupo nyuma ya huyu hadi anakingiwa kifua?

KWAKO STUDIO, KWAKO KENANI KIHONGOSI.
Yaani nyanya chungu hiyo ina miaka 20? Polokodio madona somalo fankulu!
 
Huyo ameota mavuzi tangu 2002 piga hesabu leo 2022 Novemba atakuwa na umri gani.
Eti ana umri wa miaka 20? Danganyeni wajinga wenzenu.
 
View attachment 2419091

Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20.

Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi.

Huyo aonekanaye kwenye picha ana majina mawili tofauti na anamiliki vitambulisho viwili tofauti.

Jina lake halisi ni FAUSTINE NYAKIRE JOHN
Mwenye namba za NIDA - 19931205315040000122
Kwa taarifa za NIDA Ina maana ana Miaka 29

Jina lake bandia alilotumia kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Bunda ni MOHAMMED JUMA MSAFIRI.
Aliyezaliwa tarehe 05/12/2002
Ana umri wa Miaka 20

Kama wanachama wengine wanaondolewa kwa kufoji umri na vyeti vya kuzaliwa uhalali wa huyu Mwenyekiti mdogo kuliko wote Tanzania kuendelea kushika madaraka unatoka wapi?

Nani yupo nyuma ya huyu hadi anakingiwa kifua?

KWAKO STUDIO, KWAKO KENANI KIHONGOSI.
Ebhise.
 
Back
Top Bottom