Kutana na mapacha walioungana, wanaochangia via vya uzazi na kila mmoja anataka kuolewa

Kutana na mapacha walioungana, wanaochangia via vya uzazi na kila mmoja anataka kuolewa

Hawa wanapaswa waolewe na mtu mmoja tu. Hakuna namna watafanya ili kila mmoja awe na mume wake, haipo!
Nikienda mbali zaidi, nawaona ni watu ambao watakufa muda mmoja, au kwa tofauti kidogo ya muda, lakini shortly, watakufa pamoja

Hivyo wafanye vyote pamoja, maana mume akiwa anapiga show, raha wanasikia wote
 
Changamoto yao kubwa mapacha wa aina hii ni pale mmoja atakapotangulia kufariki!
Na mara nyingi anapofariki mmoja mwengine naye hufuata.
Nadhani hapa ndipo kwenye changamoto kubwa kuliko eneo lingine.
 
huwa madokta wanamuua na mwenzake ama?
Swali zuri sana na hii ilitokea kwa mapacha wetu wale wa Iringa baada ya mmoja kufa mwingine alifuatia baada ya masaa kadhaa siku hiyo hiyo. Kufa kamili ni shut down ya ubongo. Moyo unaweza kuacha kusukuma damu ila mtu ubongo bado haujafa.

So kwa kuwa kila mmoja ana ubongo wake basi wanapishana kwa muda kufa
 
Uyo boyfriend nae Kiaz kwekikweli,
Anashindwa kujifanya kakosea tundu ajipigie threesome ya mapacha kimasihara [emoji1]
 
Uchi mmoja lakini roho tofauti!
Kwa hiyo kila mmoja ana hisia zake za kimapenzi na kupenda.
Changamoto yao kubwa mapacha wa aina hii ni pale mmoja atakapotangulia kufariki!
Kama wameungana uchi,
Apo jamaa ana kazi Sana kuwafikisha wanawake wawili kileleni maana Apo kila mtu na feelings zake na K inapaswa kulowa[emoji1]
 
Back
Top Bottom