Kutana na Mchungaji anayeponya kwa ''Kiss''

huyu mchungaji jamaan tena analisikilizia hawa ndio manabii wa uongo
 
Mie yangu itakua ya tofaut maeneo yote haya ya mwili siwez kukosa pa kuanzia
hahaha natamani kujua sehem zipi shem darling ukianzisha kanisa uniambie basi nije kuwa muumini wako
 
hahaha natamani kujua sehem zipi shem darling ukianzisha kanisa uniambie basi nije kuwa muumini wako

Ha ha ha wala usjal tena itakuwa zaid ya sehem moja aisee
Wewe tena utakuwa kiongoz wa maombi ya kusifu
 
mbona mtoa mada hajaweka wazi kiss ya wapi ? kwenye paji la uso ? kwenye tumbo ? kwenye kwapa ? wapi sasa ?
 
Ha ha ha wala usjal tena itakuwa zaid ya sehem moja aisee
Wewe tena utakuwa kiongoz wa maombi ya kusifu
[emoji2] [emoji2] zaidi ya sehem moja tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…