Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sababu ya kuponya kwa kiss eenh ila jua kuna magongwa mchungaji wa kwenye ndotoNinapoelekea sa hvi nafungua kanisa soon
Mie yangu itakua ya tofaut maeneo yote haya ya mwili siwez kukosa pa kuanziasababu ya kuponya kwa kiss eenh ila jua kuna magongwa mchungaji wa kwenye ndoto
hahaha natamani kujua sehem zipi shem darling ukianzisha kanisa uniambie basi nije kuwa muumini wakoMie yangu itakua ya tofaut maeneo yote haya ya mwili siwez kukosa pa kuanzia
hahaha natamani kujua sehem zipi shem darling ukianzisha kanisa uniambie basi nije kuwa muumini wako
[emoji2] [emoji2] zaidi ya sehem moja tenaHa ha ha wala usjal tena itakuwa zaid ya sehem moja aisee
Wewe tena utakuwa kiongoz wa maombi ya kusifu
[emoji2] [emoji2] zaidi ya sehem moja tena
we Bonny maombi gani hayo utakuwa na yako jamaanHa ha ha ndio upako unatakiwa uingie kila mahala na kwa njia tofauti
we Bonny maombi gani hayo utakuwa na yako jamaan
hahahha ebu niache mie ila huyo mchungaji jamaan si kwa kiss hilo aiseeKwahyo huyo mchungaj hapo juu hana la kwake mie ndio nna yangu
hahahha ebu niache mie ila huyo mchungaji jamaan si kwa kiss hilo aisee
mie tena sio sakayo ndio angekuja umjalibieMchungaj anatoa kiss la hisia namna ile shunie embu njoo nkupe upako wa kissing