Kutana na Members wa ajabu kabisa JamiiForums

Kutana na Members wa ajabu kabisa JamiiForums

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
Yaani kuna members wengine ni kama wamekwisha kukalili jina basi kila utakapo post kitu au kucomment kitu ni lazima ata kupinga au kukukashifu tu ilihali umeongea vitu vya kawaida tu, tena sometimes hata umemsalimia mtu lakini utashangaa tu jamaa ka reply yeye hio thread kwa kashifa.

Naona sanaa members wengi humu wakitukanwa au kukosolewa na watu wale wale walio wakosoa kwenye nyuzi nyingine kabla,mambo mengine madogo tu.

Kuna members wengine hao wao wamezaliwa ku hate tu, hapo ukitaja kitu cha maendeleo asee utajuta, na kuna mijitu iko negative tu yaani kwa kila kitu kila hali.

Wengine wao mada ina husu mambo mengine ila watajadili vitu vyao personal hai wanapotezesha lengo la nyuzi husika.

Haya mambo yamekwisha kutokea na umekwisha jionea mwenyewe, sina jipya ila nataka tu ni wa wish happy birthday members wa hivi, live long fam.
 
Kuna wale wanahisi Jf ni yao kisa wameanza zamani utaskia "unatujazia server zetu..."
Sijui ni wake wa mmiliki[emoji3][emoji3]
Kwanza ukute hata server hajui ni nini au ukimpinga kitu cha kweli anahangaika kupoteza muda wake kuangalia umejiunga lini...utadhani memba kua jf kitambo ndo unakua na akili kibao[emoji3][emoji3]
 
Tena mie kuna kajamaa hua kananishangaza sanaa kila nilipo kapo, kananitukanaga mengi matusi, hua sikajibu chochote tangu nijue kua join yake inasoma 22 may of this year hahahahahaha naishia kucheka tu
 
Mtaje sasa, au unamuogopa?
Manake sioni sababu ya kuelezea kwa mafumbo...
Acha hizo bana utachafua hali ya hewa
 
Kuna wale wanahisi Jf ni yao kisa wameanza zamani utaskia "unatujazia server zetu..."
Sijui ni wake wa mmiliki[emoji3][emoji3]
Kwanza ukute hata server hajui ni nini au ukimpinga kitu cha kweli anahangaika kupoteza muda wake kuangalia umejiunga lini...utadhani memba kua jf kitambo ndo unakua na akili kibao[emoji3][emoji3]

Hahahahahahahahah
 
Mtaje sasa, au unamuogopa?
Manake sioni sababu ya kuelezea kwa mafumbo...
Acha hizo bana utachafua hali ya hewa

Sijaona haja ya kumtaja, alaf na hapa hatupo kuelezeana et flani hua anafanya iv au vile, hizi ni story za ukweli ila ktk hali ya kawaida tu, na lengo sio uadui au kujua nani mbaya,no, hapa ni kama tunapiga stori tu za utani kumbe ndio ukweli huo.
 
Kuna wengine ni watoto wa kiume sio wanaume unapingana na mitazamo yake anakununia....kabisa anakuweka ignore list

Nashukuru Mungu mimi ni muhenga hawa wanaume wa miaka hii kama mabinti
 
Back
Top Bottom