Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Jul 8, 2017 #81 Khakhaakhaaaaa Nimeipenda hii Cc Smart911
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Jul 8, 2017 #82 Wakijibu mbovu usirudishe
Alisina JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 4,287 Reaction score 4,626 Jul 8, 2017 #83 Yamakagashi said: Kuna wengine ni watoto wa kiume sio wanaume unapingana na mitazamo yake anakununia....kabisa anakuweka ignore list Nashukuru Mungu mimi ni muhenga hawa wanaume wa miaka hii kama mabinti Click to expand... Kabisa kabisa!! Mtu ukipishana naye kimawazo au mtazamo yeye anahifadhi kisha anajenga chuki kama akinamwajuma ndala ndefu wa yombo kwa limboa. Jf wapo wengi wa aina hiyo na wanashangaza kwelikweli.
Yamakagashi said: Kuna wengine ni watoto wa kiume sio wanaume unapingana na mitazamo yake anakununia....kabisa anakuweka ignore list Nashukuru Mungu mimi ni muhenga hawa wanaume wa miaka hii kama mabinti Click to expand... Kabisa kabisa!! Mtu ukipishana naye kimawazo au mtazamo yeye anahifadhi kisha anajenga chuki kama akinamwajuma ndala ndefu wa yombo kwa limboa. Jf wapo wengi wa aina hiyo na wanashangaza kwelikweli.