Kutana na mla bata wa kishua Brenda K, Mtanzania, India na Mkanada

Kutana na mla bata wa kishua Brenda K, Mtanzania, India na Mkanada

Nimejaribu kuangalia profile yake insta nimejidhihirishia pasipo shaka kwamba ni "MUUZA PAPA" tu wala si Mla Bata.
 
Nimuonee wivu muuza K.Hamjui tu hawa ndio wana tuaharibia wadogo zetu wa kike na kuwafanya waamini wanaweza kufanikiwa kimaisha kupitia K zao na kusahau kujituma kwa kutumia vipawa vyao walivyojaliwa na Mungu.
Kifupi mchizi kaleta tangazo
 
Kama sanchiworld
Instagram imetengeneza watu wa hovyo ambao leo maarufu sababu tu ya mionekano yao,ukimfuatilia sana unakuta ni malaya plus mdangaji hana ushua wowote zaidi ya kuuza K.
 
Sawa sisi tutamuadd tu kwenye chama chetu mpya hiyo [emoji847][emoji2233]
 
Mbona hakuna mwanamke hapa ni mbaya hana hata mvuto. Cheki kina irine uwoya chuchu saa sita utafikiri hajazaa, sio huyu
 
Back
Top Bottom