๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ


Tanzania tunaweza bhana โœ…

Kuna na mvumbuzi kutoka Tanzania anaitwa Gibson kawaga aliyebadili betri mbovu za laptop zilizotupwa kuwa nishati endelevu katika Kijiji kimoja kilichopo mkoa wa iringa Nchini Tanzania.



Historia ya Gibson kuwa mvumbuzi ilianzia kwenye familia yake walikua na changamoto ya kukosa umeme kwa kuishi Kila siku bila umeme, ndiyo maisha halisi kwa zaidi ya nusu wakazi wa Kijiji chao.



Familia nyingi kwenye mkoa wa iringa bado zinategemea taa za mafuta ya taa pamoja koroboi ambazo hazifai na zinaharibu afya na mazingira.

Kutokana na changamoto hii Mtaalamu Gibson kawaga akaamua kutatua changamoto ya Kijiji chao kwa kuvumbua umeme ambao unatumia betri za laptop Zilizotupwa na kutoa mwanga pamoja na matumizi mengine nyumbani na maofisini nchini kote Tanzania.



Sasa wakazi wengi wa iringa kwenye Kijiji chao wanapata umeme kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha na biashara baada ya kawaga kuwatoa kwenye matumizi ya Mafuta na kuanzia kutumia nishati ya Umeme.

Kupitia hali hii kampuni ya WAGA ikaanzishwa, Gibson amebadilisha e-waste kuwa chanzo cha nishati nafuu na endelevu, na kusaidia kukabiliana na tatizo la nishati nchini Tanzania na kutoa mustakabali mzuri na wa kijani kwa watu wake.

Source: #bongotech255
#teknolojia #tanzania #teknolojianiyetusote


 
Ujinga mtupu wa udsm ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
 
Kuna viongozi wenye roho mbaya watakuja kusema, hajatimiza vigezo hivyo inahitaji kufungwa kampuni yake.
Hapana. Usiwe na inferiority complex ya aina hii kwani chema chajiuza na kibaya chajitembeza. Duniani kote ubunifu kama unakidhi vigezo, muhimu na unakubalika, viongozi hawawezi kuzuia. Tatizo ni kuwa ''wabunifu'' wengi wanaojitokeza Tanzania siyo wabunifu kwa maana yake bali ni watu waliounda vitu ambavyo vilishaundwa na teknolojia yake imepishapiga hatua kubwa.
 
Ungeelezea vizuri mkuu
Source ya huo umeme
Na lifespan yake

Maana batri za laptop tayari Zinauwezo wake from manufacturer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ