๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ

View attachment 3240919
Tanzania tunaweza bhana โœ…

Kuna na mvumbuzi kutoka Tanzania anaitwa Gibson kawaga aliyebadili betri mbovu za laptop zilizotupwa kuwa nishati endelevu katika Kijiji kimoja kilichopo mkoa wa iringa Nchini Tanzania.

View attachment 3240921

Historia ya Gibson kuwa mvumbuzi ilianzia kwenye familia yake walikua na changamoto ya kukosa umeme kwa kuishi Kila siku bila umeme, ndiyo maisha halisi kwa zaidi ya nusu wakazi wa Kijiji chao.

View attachment 3240920

Familia nyingi kwenye mkoa wa iringa bado zinategemea taa za mafuta ya taa pamoja koroboi ambazo hazifai na zinaharibu afya na mazingira.

Kutokana na changamoto hii Mtaalamu Gibson kawaga akaamua kutatua changamoto ya Kijiji chao kwa kuvumbua umeme ambao unatumia betri za laptop Zilizotupwa na kutoa mwanga pamoja na matumizi mengine nyumbani na maofisini nchini kote Tanzania.

View attachment 3240922

Sasa wakazi wengi wa iringa kwenye Kijiji chao wanapata umeme kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha na biashara baada ya kawaga kuwatoa kwenye matumizi ya Mafuta na kuanzia kutumia nishati ya Umeme.

Kupitia hali hii kampuni ya WAGA ikaanzishwa, Gibson amebadilisha e-waste kuwa chanzo cha nishati nafuu na endelevu, na kusaidia kukabiliana na tatizo la nishati nchini Tanzania na kutoa mustakabali mzuri na wa kijani kwa watu wake.

Source: #bongotech255
#teknolojia #tanzania #teknolojianiyetusote

View attachment 3240923
Haujaeleweka.
Tulia toa maelezo vizuri.
Umeme huo unafanyaje kazi.
Wananchi uliosema, wananufaikaje nk
Jazia nyama watu wauelewe huo umeme vizuri.
 
Makala yako haijajitosueleza umeanza vizuri kutuelezea kuhusu huyo mtu, je anatengeneza? Huo umeme ninwakuchaji au kifaa kimoja kinatumia betri ngapi na material gani mengine? Kinatoa umeme watt ngapi? Kinauzwaje? Mpaka Sasa amezalisha vifaa vingapi? Wataalamu toka sarikalini, taneaco au taasisi zinazouusiana na nishati wamekagua? Hiyo anayozundua ni kampuni biashsha au ameenda kupresent kwenye semina? Jazia nyama makala inoge umefanya vyema kuqmbatanisua picha
 
Hivi unajua laptop huwa ina battery za kawaida Lithium zinakuwepo cells idadi tofauti ndio inakupa ile power (wattage) / nguvu / Nishati ya kuendeshea laptop yako

Sasa battery hii (lithium / chargeable) unaweza kusema inatunza umeme (baada ya kuicharge) ili ukikatika au usipokuwa kwenye mains uweze kutumia chombo chako na kwa muktadha huo haina tofauti na simu ambayo unachaji ukiwa nyumbani inatunza chaji na wewe kuweza kutumia bila kuchomeka kwenye mains.. Na battery hizi zote baada ya matumizi ya muda mrefu Charging Cycles huanza kupunguza ufanisi

Sasa ni kwamba hapo labda angesema anatumia electronic wastes ili kurefusha matumizi ya hizo wastes na sio kutengeneza umeme kutumia battery...
 
Ungeelezea vizuri mkuu
Source ya huo umeme
Na lifespan yake

Maana batri za laptop tayari Zinauwezo wake from manufacturer
Hii ya huyu boya ni kindagateenii projecti๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคก๐Ÿคก๐Ÿคก๐Ÿคก๐Ÿ‘ผ๐Ÿ‘ผ๐Ÿ‘ผ๐Ÿ‘ผ
 
๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ

View attachment 3240919
Tanzania tunaweza bhana โœ…

Kuna na mvumbuzi kutoka Tanzania anaitwa Gibson kawaga aliyebadili betri mbovu za laptop zilizotupwa kuwa nishati endelevu katika Kijiji kimoja kilichopo mkoa wa iringa Nchini Tanzania.

View attachment 3240921

Historia ya Gibson kuwa mvumbuzi ilianzia kwenye familia yake walikua na changamoto ya kukosa umeme kwa kuishi Kila siku bila umeme, ndiyo maisha halisi kwa zaidi ya nusu wakazi wa Kijiji chao.

View attachment 3240920

Familia nyingi kwenye mkoa wa iringa bado zinategemea taa za mafuta ya taa pamoja koroboi ambazo hazifai na zinaharibu afya na mazingira.

Kutokana na changamoto hii Mtaalamu Gibson kawaga akaamua kutatua changamoto ya Kijiji chao kwa kuvumbua umeme ambao unatumia betri za laptop Zilizotupwa na kutoa mwanga pamoja na matumizi mengine nyumbani na maofisini nchini kote Tanzania.

View attachment 3240922

Sasa wakazi wengi wa iringa kwenye Kijiji chao wanapata umeme kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha na biashara baada ya kawaga kuwatoa kwenye matumizi ya Mafuta na kuanzia kutumia nishati ya Umeme.

Kupitia hali hii kampuni ya WAGA ikaanzishwa, Gibson amebadilisha e-waste kuwa chanzo cha nishati nafuu na endelevu, na kusaidia kukabiliana na tatizo la nishati nchini Tanzania na kutoa mustakabali mzuri na wa kijani kwa watu wake.

Source: #bongotech255
#teknolojia #tanzania #teknolojianiyetusote

View attachment 3240923
Itakuwa ni copy and paste!
 
Wewe sindiyo unawapaka rangi za kucha na kuwasafisha kucha hao kina mwijaku na juma lokole ...wanaume wa kirangi mna akili za dada zenu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜„ aise basi yaishe

Ova
 
Wewe sindiyo unawapaka rangi za kucha na kuwasafisha kucha hao kina mwijaku na juma lokole ...wanaume wa kirangi mna akili za dada zenu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Wasambaa wengi ndy shuguli yao mkuu ๐Ÿ˜„

Ova
 
Back
Top Bottom