๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ

Changamoto kubwa inakuja hapa
 
Sasa wakazi wengi wa iringa kwenye Kijiji chao wanapata umeme kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha na biashara baada ya kawaga kuwatoa kwenye matumizi ya Mafuta na kuanzia kutumia nishati ya Umeme.

Si tulikubaliana kwamba kwa asilimia 99 Mama kaing'arisha Tanzania na REA
 
Wewe sindiyo unawapaka rangi za kucha na kuwasafisha kucha hao kina mwijaku na juma lokole ...wanaume wa kirangi mna akili za dada zenu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Umesema na langu mkuu!
 
Mmepuyanga puyanga tu. Hakuna maelezo ya kutosheleza. Battery za laptop tayari zenyewe zina umeme. So yeye amegundua nini hapo?
 
Yupo mbongo yeye anatumia sumaku kuzalisha umeme unatumia nyumbani hauzimiki mwka mzima na unatumia vifaa vyako vyote na hauna kelele Wala services yeyeto.
Yupo Dar
Hivi haya mambo ya uvumbuzi huwa yanaishia wapi,mbona hatukutani nayo kwenye maisha yetu ya kawaida ilihali kila Mtu anajua uhitaji wa umeme?Haya mambo yana uhalisia kiasi gani?Mbona ni kama miujiza ya kina Mwamposa kutibu saratani na wakati huohuo Ocean Road inaelemewa na Wagonjwa?.Nadhani kuna jambo haliko sawa mahali.
 
Kama hujui kuwa viongozi wa kitanzania ni waharibifu basi huijui nchi YAKO.
 
Shida ya wagunduzi wa kibongo Wana ubongo tegemezi soko lipo la gunduzi zao wanataka wabebwe na serikali.
Mfano Pana dogo anatengeneza majiko yanayotumia kokoto au vipande vya tofali za udongo kupikia badala ya mkaa lakini akili ya kutengeneza market kujibrand wawe milionea hawana
 
Kama hujui kuwa viongozi wa kitanzania ni waharibifu basi huijui nchi YAKO.
Najua ni wabaya sana na incompetent kushinda maelezo. Lakini kwenye suala ugunduzi wa teknolojia zama hizi huhitaji msaada wa kiongozi. Hebu nipe mfano wa mtu yeyote aliyegundua kitu na viongozi wakamkwamisha.
 
Mimi mwenyewe ila sitakufafanulia hapa,na uongozi unaonizuia ni kusogea kwa wale wa juu na wale wa juu wapo wazuri na wabaya pia.Jua Mimi ni mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ