kutana na mtu asie kujua halafu akakuomba ..

honnail

Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9
Reaction score
0
nilikua siku moja nipo kwenye mtandao mmoja wa kijamii muda kupita wakati na chat na dada mmja jina tunamuhifadhi ndipo alipo niambai kwamba nimtumie vocha ya elfu tano Ijumaa atanirudishia jaman wakati mimi ni mara ya pili tu kuchat nae . Hivi ingelikua ww ungefanya nini ?
 
mtumie bwana, ujui kama kwa kuchati naye amekuondolea stress. Malipo ndio voucher.
 
unatuma tuu ujue voucher inaongeza uhusiano
 
mbona kaomba ndogo hivyo? Mi juzi kati kuna mtu kaniomba pesa tena mdada, nikamtoa mwekundu Mara katuma SMS ooohh asante bby japo haitoshi. Mbuzi kabisa, sikumjibu hata kumjibu nusura nimsemee kwa mwenye mali
 
Mi nilituma vocha ya jelo.
 
mm natumaga kodi ya nyumba kila mwezi na simjui! ndio utandawazi wenyewe!
 
unamtumia kwani zambi kipi kibaya alichofanya?
 
wewe unashangaa siku 2, mimi nilichat na duu dk 3 akaomba elfu 15 ya kukomboa simu kwa fundi!! yaan madem wa sikuhizi hawana hakili kabsaaaaa!!
 
Toa hela wewe acha ubahili. Bila shaka umetoka kwa makabila yetu yaleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Kanda kask na ile wilaya inayoongoza kwa Ngoma kule nyanda za juu kusini.
 
Kwa kuwa ulishindwa kumkopa kabla, basi ilibidi umtumie tu, buku tano kwa mara moja si mbaya!
 
wewe unashangaa siku 2, mimi nilichat na duu dk 3 akaomba elfu 15 ya kukomboa simu kwa fundi!! yaan madem wa sikuhizi hawana hakili kabsaaaaa!!
Ha ha ha haaaah!! Na mimi hii imewahi kunikumba, tena juzijuzi hapa.
 
Ukiombwa vocha asubuhi,kaa mpaka jioni kisha tuma vocha ya jero
 
"Ni kheri kutoa kuliko kupokea"

wanawake wa JF wanavyopenda "offer" subiri uone watavyoni-pm..:smile-big:
 
"Ni kheri kutoa kuliko kupokea"

wanawake wa JF wanavyopenda "offer" subiri uone watavyoni-pm..:smile-big:

Sio wote ila, 5000/= mtu analeta thread JF akiombwa ml5 si ataenda BBC kutangaza. Tumia hela ikuzoee bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…