kutana na mtu asie kujua halafu akakuomba ..

Sio wote ila, 5000/= mtu analeta thread JF akiombwa ml5 si ataenda BBC kutangaza. Tumia hela ikuzoee bana.

LOl, na ameambiwa atarudishiwa kesho!! BTW, nadhani point yake hapo ni hiyo hali ya kutofahamiana na uyo bidada alafu kuombwa "mkopo" naona hiyo hali ndio imepelekea thread hii kuanzishwa..
 
LOl, na ameambiwa atarudishiwa kesho!! BTW, nadhani point yake hapo ni hiyo hali ya kutofahamiana na uyo bidada alafu kuombwa "mkopo" naona hiyo hali ndio imepelekea thread hii kuanzishwa..

Mkuu Wi-Fi huo ni mwanzo wa kufahamiana, isitoshe akisaidia sio lazima aseme. Ila kama amesadia sasa yakawa mazoea kila mara bidada anataka mkopo hapo lazima a doubt. mimi kuna rafiki yangu wa kiume sio boyfriend lakini alikuwa na shida akawa anataka kukopa arudishe kwa riba. laki tatu angerudisha laki nne na nusu ndani ya mwezi mmoja nikawaza nilikuwa na hela kwenye account yangu nikatoa nikampa ili anirudishie mwisho wa mwezi bila riba. just imagine hakuniomba ila baada ya yeye kusema anataka akakope arudishe na riba nikaamua kumpa hiyo hela. NOTE: pesa ni kipimo cha uaminifu.
 

Watu kama nyie niwachache sana kwa dunia ya leo ambayo kila mtu yuko bize kumuibia mwingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…