Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

Tukumbuke kuwa huyu MTU anapata hii pesa kwa kufanya kazi kwa Masaa yasiyopungua 18 kwa siku, kila siku, hakuna kupumzika. Akiumwa pesa haiingii, na bado anatakiwa atafute pesa ya matibabu (in wazi atakuwa hana BIMA ya afya). Kazi anayofanya haiwezi kuwa ya kudumu, miundo mbinu ya maji eneo analofanyia shughuli zake ikikaa sawa kazi imeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi wako umeongelea faida tu, Mbona hiyo chai nzito hujasema inakosti be I gain!! Na hizo bia mbili ambazo ni lazima je?

Unadhani akitoa na gharama za uendeshaji unadhani anabaki na be i gani? ?? Kama siyo elfu tatu. Halafu unamfananisha na Degree holder!!!?? Acha kulinganisha ujuzi na uzoefu.
 

Kabla ya kuandika chochote soma kwa makini.
Unajua maana ya "net profit"? Au hujapita shule?
Mambo ya uchumi uliwahi kuyasomasoma labda.?
acha kujitetea hamna sehemu umeongelea net profit, acheni kuketa story za kufurahisha genge hapa hizo hesabu ulizoweka hapo HAZIWEZEKANI acheni kujidanganya hela sio rahisi kiasi hicho, ndio maana mawaziri wanahubiri kujiajiri wakati mda wa kampeni wanashupaza mishipa wachaguliwe wapate ajira.

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
N swali je fulsa ya kimaisha ni kuuza maji tu?ina maana nguvu kazi yote ifanye kazi ya kuuza maji?Hoja hapa je kuuza maji ni fulsa endelevu ya kiuchumi?mimi nadhani angetoa ushauri wa kuchangamkia kufanya kazi za kiuchumi zenye fulsa endelevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Pumbaaavu, kaangalie ulivyoni quote, unanipotezea muda wangu shenztype.
 
Ushamwalibia kazi yake jamaa,Maana wabongo kwa kuigana hapana kabisa
 
Hahaha hiyo chai ya hivyo viungo ningependa kujua faida zake. Maana umelazimika kutaja na viungo vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye degree katika ubora wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka mimi Nina bima ya afya, napata mkopo, na pensheni juu. Pamoja na hayo sijakubishia mkuu acha kila mtu apambane na hali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ndo unadangwanywa na Bima za kutibiwa mwisho Muhimbili? wewe una jua vipi kama hana Bima? shida nyie huwa mna under rate sana watu kwa kuangalia aina ya shughuli yake na uvaaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pumbaaavu, kaangalie ulivyoni quote, unanipotezea muda wangu shenztype.
[emoji23] [emoji23] siku zote mtu akiishiwa hoja anakimbilia matusi, amani bro ujasiriamali unalipa hata mi nna mpango wa kuingia huko ila tusipeane matumaini makubwa sana

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Marupu rupu ndo nini? hata ungepata marupurupu vipi huwezi toka na hakuna alie weza kutokankwa marupurupu bali kwa mtu kutumia muda wake mwenyewe. Wako wapi waheshimiwa wa zani walio kuwa ma marupu rupu yasio hesabika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…