Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

Pamoja na yote, hiyo ndo hela anayoingiza kwa wiki... Hela kubwa zaid ya wana degree wengi wanaolipwa had laki 3..kwan hao degree nao hawali?
Ishu sio kula wala hiyo laki saba.
Ishu ni kuonesha kuwa jamaa ana kiwanja mbezi na ujenzi umeanza, wakati hesabu zinakataa. Kama ana mishe nyingine muongezee vinginevyo utabaki peke yako kutetea hoja.
 
Dawasco washaweka mabomba, soon kibarua kitaota nyasi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dah... Masaa 18 anapiga kazi? [emoji15] Hebu mwambie akapime DNA ya hao watoto wake [emoji87] [emoji125] [emoji125]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
tatizo linalowasumbua hawa wasomi wetu ni kujifungia kwenye circles za ajira na wala hawataki kujaribisha skills zao kwingineko..wanategemea ajira na kuona kwamba hiyo ndiyo dili hasa..ila wakijiongeza na kutumia skills zao walizozipata huko masomoni watapiga hela sawasawa...pia ni vyema serikali iwe na sensitization and empowerment programmes za kutosha ili kuwahamasisha college and university students..
 
Salaam wakuu,

Siku chache tu zilizopita, nilihamisha makazi yangu kutoka Sinza na kuhamia Magomeni Makanya.

Hapa pana shida ya maji sana. Sasa kuna kijana mmoja wa Kisukuma almaharufu kwa jina la Ngosha, anauza maji ya madumu kwa ajili ya matumizi. dumu moja anauza shilingi 500.

Ana jumla ya madumu 50. Huamka asubuhi na mapema sana majira ya saa kumi. Huyafuata maji na mkokoteni wake hadi majira ya saa moja, anakua amejaza madumu yote 50 na kuyaleta Makanya kuyauza.

Ikifika mida ya saa nane mchana, hua anakua ameuza madumu karibu 40, hivyo anafuata madumu mengine kama 20 hivi kwa ajili ya kuuza jioni. Anauza maji hadi saa tano usiku. Kuna wakati ikifika mida ya saa tatu usiku, anakuwa amemaliza maji na anakwenda kupumzika.

Nilimuuliza siku biashara ikiwa mbaya, anakuwa ameuza madumu mangapi, akaniambia 50. Sasa tuchukue hii minimum tuifanye ndo kwa kila siku, kwa mwezi inakuwa ni pesa nyingi zaidi ya hata mtu anayelipwa mshahara wa degree.

Chukua 50x500= 25,000. Alafu chukua 25000x30=750,000. Kwahiyo huyo kijana anapata shilingi laki saba na nusu kwa mwezi ambayo hata hatozwi kodi. Hiyo ni take home.

Huyu kijana maisha yake ni mazuri, ana mke na watoto wawili. Amekodi vyumba vitatu kwa ajili ya kuishi yeye na familia yake. Mtoto wake wa kwanza yupo darasa la kwanza.

Asubuhi anapata breakfast nzito ambayo ni chapati mbili, maharage bakuli moja, supu ya utumbo bakuli moja, soda moja ya pepsi na maji ya masafi lita moja. Hiyo ni asubuhi tu. Jioni lazima apate bia mbili pia.

Kwa sasa amenunua kiwanja huko Mbezi na anajenga nyumba yenye rumu nne.
Huyu kijana hata mimi mshahara wangu ni mdogo zaidi ya anachoingiza.
kweli kusoma siyo kupata pesa mingi na kufanikiwa.

Wakati huo huo mimi ninawaza hapa napata wapi hela ya kodi mwezi ujao landlord ameanza kukumbusha.

Ngoja nipate chai ya Tangawizi +asali +mdalasini.. Then narudi.
[emoji121]
KUMBUKA KUWA NYIE FORM TWO BADO HAMJAFANYA MOCK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu sio kula wala hiyo laki saba.
Ishu ni kuonesha kuwa jamaa ana kiwanja mbezi na ujenzi umeanza, wakati hesabu zinakataa. Kama ana mishe nyingine muongezee vinginevyo utabaki peke yako kutetea hoja.
Zina kataa vipi? shida zenu nyie mentality zenu ni za Kazi tu na viashara ni either saloon, Min super market. Mimu kuna mama mmoja ni kama ndugu ana somesha watoto wawili chuo kikuu mmoja ushirika na mwingine Tumaini Mama anauza Mihogo na Samki tu.

Nafurahi sana ninavyo kutana na coment za aina hii safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza munkari let's go slowly like the fkng night.
1. Hao unaodai wanalipwa laki 3 wanafanya Kazi saa ngapi - saa ngapi?
Per day anapata elfu 25,let me ask you...mkokoteni ukiharibika anautengeneza kwa gharama zipi?
Toa gharama za kujaza hayo madumu,plus kujaza upepo. Plus yeye Kazi yake ni very tough than them.
Comment za waajiriwa. Mimi siwezi pingana na huyo jamaa kamwe, Hata kama hesabu haziend sawa but ni ukweli.

Shida nyie watu wa biashara za chini mnawadharau for maximum ila ukweli wanapata pesa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama una degree basi kajifikirie tena vizuri kuhusu huu utafiti wako wa kumlinganisha kijana anayejitafutia mahitaji ya familia yake na mtu mwenye degree
 
Comment za waajiriwa. Mimi siwezi pingana na huyo jamaa kamwe, Hata kama hesabu haziend sawa but ni ukweli.

Shida nyie watu wa biashara za chini mnawadharau for maximum ila ukweli wanapata pesa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasikubishie mininae kaka hiyo ndo kazi yake anauza maji Kama huyo Ana madumu 50 kwenye mkokoteni Kwanza asubuhi ile saa kumu anaenda kuchota maji anazungungusaha kwa waliompa tenda saa tano anarudia anauza jioni saa kumi anafata ya kulaza ambae atahitaji kwajioni anakuja anampelekea na kwasiku anaingiza elandefu Sana kwasasa anasomesha watoto wanne mmoja yuko form six wawili wakike wako form three mmoja wakiume yuko darasa la nne wote wako private isipokua huyo wa form six na siku hizi amenunua punda ndo wanasukuma huo mkoko teni pi kaajili vijana ndo wanapiga kazi kuna wakufata maji kunawakati kila mteja anapohitaji naanaseama yeye kuajiliwa labda mshahara uanzie milioni tano kwa mwezi na ameshafungua duka kwa kazi yake hiyohiyo nawateja wake nimchanganyiko wanachuo na raia kwahiyo ulicho kisaema ni sahihi kabisa wanaokubeza hao niwale wanategemea mama au baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment za waajiriwa. Mimi siwezi pingana na huyo jamaa kamwe, Hata kama hesabu haziend sawa but ni ukweli.

Shida nyie watu wa biashara za chini mnawadharau for maximum ila ukweli wanapata pesa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hautojali,wapi nimeonyesha dharau???instead ujibu bila munkari,Yaani weka munkari wako wahka pembeni...
 
Back
Top Bottom