tezidume007
Member
- Oct 16, 2016
- 31
- 45
Hahaha! Una degree nini? Sometimes tunajifunza kupitia wengine!Non Sense...... Ina maana huwezi kuongelea mafanikio ya huyo mtu bila kumlinganisha na mtu mwenye degree? We sasa hiyo laki saba hamsini umeona mali sana..
Halafu mtoa mada, ingekuwa jambo la heri kutafakari maisha yako... Ukitumia muda wako kutafakari ya wenzako utakosa muda wa kufanya yako...
Mwanaume ww una moyo mgumu! Hv unaanzaje kumvulia nguo mtu usiyemfahamu?Sasa hivi wana hali ngumu.
Nimepita juzi pale sinza mori, nimekutana nayo pembeni ya Bigbon wakanivuta wanahitaji niwape hata buku tu.
Na mm ninavyojua ku bargain, nikamwambia nina jero, akasema poa, akaniingiza Kichumba chake, nikapata goli moja kwa jero nikaondoka zangu mwepesi
Ndio naweza kuuza sana kwani wewe hutumii maji? ujinga ni pale ambapo mtu anapondea mfano Biashara ya mkaa na yeye ni.mtumia mkaa, maajabi ya Bongo.Sawa mkuu, uza Maji
Aiseeh [emoji119]Hizo hesabu zako hazijazingatia mambo yafuatayo:
1.Yeye ananunua ndoo moja shilingi ngapi huko anakoenda kuchota?
Tuchukulie ananunua ndoo moja 200.
Ukichukua 200*50=10,000 kwa siku, 300,000 kwa mwezi. Kwahiyo toa 300,000 kutoka kwenye ile 750,000. Inabaki 450,000
2. Bili ya msosi na bia uliyoweka ni sawa na 9,000 kwa siku. Kwa mwezi ni 270,000. Ukitoa inabaki 180,000
3.Vyumba alivyopanga vitatu, kodi tuchukulie 60,000 kwa mwezi. Ukitoa inabaki 120,000
4.Nauli ya mtoto kwenda shule na hela ya kula, tuweke 1,000 kwa siku, 30,000 kwa mwezi. Hapo inabaki 90,000
5.Vocha, weka 500 kwa siku. 15,000 kwa mwezi. Inabaki 75,000
6.Mkaa, Mafuta taa, Gesi weka 2,000 kwa siku, 60,000 kwa mwezi. Inabaki 15,000
7. Matengenezo ya dumu likitoboka au baiskeli ikiharibika weka 5000 kwa mwezi. Inabaki 10,000
8.Weka ya saloon yeye na wife 5000 kwa mwezi. Inabaki 5000
9.Nauli nauli za bodaboda na daladala, weka 5000 kwa mwezi. Inabaki 0.
10. Huyo jamaa kakuona wewe mbumbumbu akakujaza ujinga na wewe ukaubeba bila kuhoji, hana kiwanja mbezi wala mfano wake
Fanya kazi ya profession yako unayoipenda,ridhisha kwanza roho yako,roho hairidhiki kwa kupata fedha nyingi tu mpaka maisha yako yakawa yakuongozwa na uhitaji wa pesa kupindukia.number chasing douchesHujuoni ulivyoongea mapumba na mashudu, huko ofisini unajiona umefika kiasi cha kumdharau mzibua choo anayeingiza faida badala ya mshahara? Unataka kutuambia uko tayari kulipwa mshahara nusu kisa tu kuna viyoyozi na chai?
Think again bro.
Hiyo hesabu ni ya uongo. Huyo muuza maji anapata maji bure . hamna ukweli wowote juu ya hiloSalaam wakuu,
Siku chache tu zilizopita, nilihamisha makazi yangu kutoka Sinza na kuhamia Magomeni Makanya.
Hapa pana shida ya maji sana. Sasa kuna kijana mmoja wa Kisukuma almaharufu kwa jina la Ngosha, anauza maji ya madumu kwa ajili ya matumizi. dumu moja anauza shilingi 500.
Ana jumla ya madumu 50. Huamka asubuhi na mapema sana majira ya saa kumi. Huyafuata maji na mkokoteni wake hadi majira ya saa moja, anakua amejaza madumu yote 50 na kuyaleta Makanya kuyauza.
Ikifika mida ya saa nane mchana, hua anakua ameuza madumu karibu 40, hivyo anafuata madumu mengine kama 20 hivi kwa ajili ya kuuza jioni. Anauza maji hadi saa tano usiku. Kuna wakati ikifika mida ya saa tatu usiku, anakuwa amemaliza maji na anakwenda kupumzika.
Nilimuuliza siku biashara ikiwa mbaya, anakuwa ameuza madumu mangapi, akaniambia 50. Sasa tuchukue hii minimum tuifanye ndo kwa kila siku, kwa mwezi inakuwa ni pesa nyingi zaidi ya hata mtu anayelipwa mshahara wa degree.
Chukua 50x500= 25,000. Alafu chukua 25000x30=750,000. Kwahiyo huyo kijana anapata shilingi laki saba na nusu kwa mwezi ambayo hata hatozwi kodi. Hiyo ni take home.
Huyu kijana maisha yake ni mazuri, ana mke na watoto wawili. Amekodi vyumba vitatu kwa ajili ya kuishi yeye na familia yake. Mtoto wake wa kwanza yupo darasa la kwanza.
Asubuhi anapata breakfast nzito ambayo ni chapati mbili, maharage bakuli moja, supu ya utumbo bakuli moja, soda moja ya pepsi na maji ya masafi lita moja. Hiyo ni asubuhi tu. Jioni lazima apate bia mbili pia.
Kwa sasa amenunua kiwanja huko Mbezi na anajenga nyumba yenye rumu nne.
Huyu kijana hata mimi mshahara wangu ni mdogo zaidi ya anachoingiza.
kweli kusoma siyo kupata pesa mingi na kufanikiwa.
Wakati huo huo mimi ninawaza hapa napata wapi hela ya kodi mwezi ujao landlord ameanza kukumbusha.
Ngoja nipate chai ya Tangawizi +asali +mdalasini.. Then narudi.
Hii story inafanana Kama imesimliwa na mlengwaSalaam wakuu,

Na wewe mshahara wako wa laki 3 usha upigia mahesabu? au huwa unabakia vile vile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi wanatumia ndondocha...jiangalie inawezekana mtaa mzima mnakandishwa maandazi usikuKuna mama muuza mandazi mmoja yeye anaingiza zaidi ya 50,000/= per day as net profit.
Kwa siku anapika mandazi 200, chapati 200, na donat 200
Kila andazi 1 anapata 50 as profit ( 50*200 = 10,000 )
Kila chapati 1 anapata 150 as profit ( 150 * 200 = 30,000)
Kila donalt 1 anapata 150 as profit ( 150 * 200 = 30,000)
Jumla kuu > 70,000 ingawa inaweza kuwa chini ya hapo.
Chukua ni 50,000/= ( 50,000 * 30 = 1,500,000/=)
Muda wa kazi ni 12: 30 asubuhi hadi 5:30 asubuhi.
Saa 12:00 jioni hadi 5 :00 usiku.
Soko lake : Kakwaa tenda zote za kwenye mashule ya msingi na sekondari
: Vyuo karibu vitatu amazambaza huduma yake
: Watu wa mtaani kwake karibu wote wanamtegemea yeye.
Ushauri :
-- Usidharau kazi ya mtu,
-- Elimu sio pesa ila ikusaidie kuitafuta pesa.
-- Elimu sio lazima ukalishe matako darasani.
-- Maskini wakubwa dunia hii ni wasio na kazi wakifuatiwa na waajiriwa wakimalizia waajiri.
Kama hukubaliani na mimi kunya gunzi.
Mara nyingi wanatumia ndondocha...jiangalie inawezekana mtaa mzima mnakandishwa maandazi usiku
Pamoja na yote, hiyo ndo hela anayoingiza kwa wiki... Hela kubwa zaid ya wana degree wengi wanaolipwa had laki 3..kwan hao degree nao hawali?Hiyo ela sio take home,since anakula na kunywa then unatangaza kupata 750,000? Kwani haumwi?? Sio tu yeye Bali familia yake?
Punguza munkari let's go slowly like the fkng night.Pamoja na yote, hiyo ndo hela anayoingiza kwa wiki... Hela kubwa zaid ya wana degree wengi wanaolipwa had laki 3..kwan hao degree nao hawali?