Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

Pamoja na yote, hiyo ndo hela anayoingiza kwa wiki... Hela kubwa zaid ya wana degree wengi wanaolipwa had laki 3..kwan hao degree nao hawali?
Ishu sio kula wala hiyo laki saba.
Ishu ni kuonesha kuwa jamaa ana kiwanja mbezi na ujenzi umeanza, wakati hesabu zinakataa. Kama ana mishe nyingine muongezee vinginevyo utabaki peke yako kutetea hoja.
 
Dawasco washaweka mabomba, soon kibarua kitaota nyasi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dah... Masaa 18 anapiga kazi? [emoji15] Hebu mwambie akapime DNA ya hao watoto wake [emoji87] [emoji125] [emoji125]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
tatizo linalowasumbua hawa wasomi wetu ni kujifungia kwenye circles za ajira na wala hawataki kujaribisha skills zao kwingineko..wanategemea ajira na kuona kwamba hiyo ndiyo dili hasa..ila wakijiongeza na kutumia skills zao walizozipata huko masomoni watapiga hela sawasawa...pia ni vyema serikali iwe na sensitization and empowerment programmes za kutosha ili kuwahamasisha college and university students..
 
[emoji121]
KUMBUKA KUWA NYIE FORM TWO BADO HAMJAFANYA MOCK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu sio kula wala hiyo laki saba.
Ishu ni kuonesha kuwa jamaa ana kiwanja mbezi na ujenzi umeanza, wakati hesabu zinakataa. Kama ana mishe nyingine muongezee vinginevyo utabaki peke yako kutetea hoja.
Zina kataa vipi? shida zenu nyie mentality zenu ni za Kazi tu na viashara ni either saloon, Min super market. Mimu kuna mama mmoja ni kama ndugu ana somesha watoto wawili chuo kikuu mmoja ushirika na mwingine Tumaini Mama anauza Mihogo na Samki tu.

Nafurahi sana ninavyo kutana na coment za aina hii safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment za waajiriwa. Mimi siwezi pingana na huyo jamaa kamwe, Hata kama hesabu haziend sawa but ni ukweli.

Shida nyie watu wa biashara za chini mnawadharau for maximum ila ukweli wanapata pesa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama una degree basi kajifikirie tena vizuri kuhusu huu utafiti wako wa kumlinganisha kijana anayejitafutia mahitaji ya familia yake na mtu mwenye degree
 
Comment za waajiriwa. Mimi siwezi pingana na huyo jamaa kamwe, Hata kama hesabu haziend sawa but ni ukweli.

Shida nyie watu wa biashara za chini mnawadharau for maximum ila ukweli wanapata pesa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasikubishie mininae kaka hiyo ndo kazi yake anauza maji Kama huyo Ana madumu 50 kwenye mkokoteni Kwanza asubuhi ile saa kumu anaenda kuchota maji anazungungusaha kwa waliompa tenda saa tano anarudia anauza jioni saa kumi anafata ya kulaza ambae atahitaji kwajioni anakuja anampelekea na kwasiku anaingiza elandefu Sana kwasasa anasomesha watoto wanne mmoja yuko form six wawili wakike wako form three mmoja wakiume yuko darasa la nne wote wako private isipokua huyo wa form six na siku hizi amenunua punda ndo wanasukuma huo mkoko teni pi kaajili vijana ndo wanapiga kazi kuna wakufata maji kunawakati kila mteja anapohitaji naanaseama yeye kuajiliwa labda mshahara uanzie milioni tano kwa mwezi na ameshafungua duka kwa kazi yake hiyohiyo nawateja wake nimchanganyiko wanachuo na raia kwahiyo ulicho kisaema ni sahihi kabisa wanaokubeza hao niwale wanategemea mama au baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment za waajiriwa. Mimi siwezi pingana na huyo jamaa kamwe, Hata kama hesabu haziend sawa but ni ukweli.

Shida nyie watu wa biashara za chini mnawadharau for maximum ila ukweli wanapata pesa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hautojali,wapi nimeonyesha dharau???instead ujibu bila munkari,Yaani weka munkari wako wahka pembeni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…