Hata Musa Mgosi alikuwepo kikosi bora cha CHAN....tusubiri kuona uwezo wake ligi zikianza.Kwenye kikosi cha CHAN huyu mwamba alikuwepo
halafu utasikia wakisema wana watu
sasa sisi tuna sema tuna majini
View attachment 1899829
Kwani Musa mgosi ni mchezaji wa kubeza?Hata Musa Mgosi alikuwepo kikosi bora cha CHAN....tusubiri kuona uwezo wake ligi zikianza.
Mkuu ndugu yangu,unaundugu na Mwalim Kashasha? Simba nguvu mojaKwanza hatokei Congo
hapaki bleech
Anajua kucheza rafu
anajua kupiga pasi kama dobi
Ni Sadio Mane na Fedric Kanoute kwa pamoja
Ngolo kante simu yake imejaa video clip za sadio
Shoot power 99 kama adriano
Body Balance 97 kama ibrahimovic
Pass accuracy 98 kama Xavi
Stamina 95 kama Ng'olo Kante
Speed 97 kama Aubameyang
Long shoot[emoji818] kam steve G
Passing [emoji818] Kama Jorginho
Welcome msimbazi kiungo wa mpira
Mmemkumbusha aje akiwa ameshajikamilisha Kiuchawi kwa Kujipiga sana Miba ili apate namba kwani kama Said Ndemla kutwa anazunguka kwa Waganga wake Watatu ninaowajua na bado namba kupata ni shida Simba SC yeye ( huyu ) atatoboa? Tunamkaribisha...!!Kwanza hatokei Congo
hapaki bleech....
Naona hadi wewe unashangaa upumbavu wa Mbumbumbu mwenzako,kweli Mwamedi kaamua kutuharibia akili Vijana wetu kwa ujira wa juiceHuu msimu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba wamedhamiria kuvunja ndoa ya Utopolo na wale wakwepa kodi wa kiarabuSimba hii ni fayaaaa.kwanini lakini Simba inafanya mambo ya ukatili,hivi Simba wanajua kwamba kuna timu pia zinataka ubingwa?
dadadeki.pass 3 goli
Mpaka Half TimeHuu msimu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
dadadeki.