Kutana na Sadio Kanoute

Kutana na Sadio Kanoute

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Kwanza hatokei Congo

hapaki bleech

Anajua kucheza rafu

anajua kupiga pasi kama dobi

Ni Sadio Mane na Fedric Kanoute kwa pamoja

Ngolo kante simu yake imejaa video clip za sadio

Shoot power 99 kama adriano
Body Balance 97 kama ibrahimovic
Pass accuracy 98 kama Xavi
Stamina 95 kama Ng'olo Kante
Speed 97 kama Aubameyang
Long shoot✔ kam steve G
Passing ✔ Kama Jorginho

Welcome msimbazi kiungo wa mpira
 
Kwenye kikosi cha CHAN huyu mwamba alikuwepo

halafu utasikia wakisema wana watu
sasa sisi tuna sema tuna majini

IMG_20210820_155551.jpg
 
Kwanza hatokei Congo

hapaki bleech

Anajua kucheza rafu

anajua kupiga pasi kama dobi

Ni Sadio Mane na Fedric Kanoute kwa pamoja

Ngolo kante simu yake imejaa video clip za sadio

Shoot power 99 kama adriano
Body Balance 97 kama ibrahimovic
Pass accuracy 98 kama Xavi
Stamina 95 kama Ng'olo Kante
Speed 97 kama Aubameyang
Long shoot[emoji818] kam steve G
Passing [emoji818] Kama Jorginho

Welcome msimbazi kiungo wa mpira
Mkuu ndugu yangu,unaundugu na Mwalim Kashasha? Simba nguvu moja
 
Kwanza hatokei Congo

hapaki bleech....
Mmemkumbusha aje akiwa ameshajikamilisha Kiuchawi kwa Kujipiga sana Miba ili apate namba kwani kama Said Ndemla kutwa anazunguka kwa Waganga wake Watatu ninaowajua na bado namba kupata ni shida Simba SC yeye ( huyu ) atatoboa? Tunamkaribisha...!!
 
Back
Top Bottom