Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
- Thread starter
-
- #181
Mtoto mzuri huyu napata ushungu wallahi.
Wapa uchungu wa nini shehe?Mtoto mzuri huyu napata ushungu wallahi.
Wapa uchungu wa nini shehe?
nawe kabacholi......
Wadau muangalia lakini maana hvi visimu vyetu vya Nokia,Sumsung etc kuwekewa kamera imekuwa soo watu wanapiga picha tu. Usije kuta dada Wa watu wala hakuwa anajua kitu!
Huyu Mboni nshamuweka kwenye crosshairs zangu...nikitua bongo lazima nimmege huyu. Stay tuned.....
Mh, sasa huyo ndio mrembo mbona ukimtoa poda na hiyo mirasta na wanja hata mie nitamshinda.
Usikute Eto'o hakubeba hata huo mzoga ulijipendekeza tu.
Kwa hiyo jamaa akajipigia kiulaini, tehe teheUsikute Eto'o hakubeba hata huo mzoga ulijipendekeza tu.
Mkuu ina maana goto limekata mapene yamecheua kwa huyo she?Anaitwa mboni Masimba... na inasemekana YEYE Mboni ... alitoa Tzs 200,000/= kama kumtunza Fally Ipuma ili amng'ate (achapwe nao)
ndiyo hivyo dada yangu biashara asubuhi jioni ni kulaza hesabu tu.Kauli hii imeniacha mdomo wazi sikutegemea kama NN duuuu!