Kutana na Selebu Mboni

Kutana na Selebu Mboni

168121_1843021441918_1432075923_32087956_3329433_n%255B1%255D.jpg
 
Wenye Bongo yenu hebu nielekezeni private Rootop iko wapi nasikia totoz zote kazi zinapatikana pale kiingilio kama sio member ni TZS 50K huko ni full kujiachia totoz zikiingia zinasaula na kubaki bikini na g-string tu mapiga story huku mkifyoza kilaji na vyuku baadae ni wewe tu...
 
Wapa uchungu wa nini shehe?

Yakhe al-batta inaleta rabsha maana hio sio bata bali ni bata mzinga ile inatokea dodoma ukila mguu moja mwengine hutaki tena. Ila ushungu unanipata maana muungwana sina flusi za kuhonga nasikia kama huna BMW, Benz, Range rover au jina kubwaaaaa!!!! hujasalimiwa nae.
 
Wadau muangalia lakini maana hvi visimu vyetu vya Nokia,Sumsung etc kuwekewa kamera imekuwa soo watu wanapiga picha tu. Usije kuta dada Wa watu wala hakuwa anajua kitu!

We nawe picha zote mtu anaonekana amepozi kwa kufotolewa wewe unasema inawezekana hakuwa na habari, hebu zicheki vizuri hizo picha
 
Anaitwa mboni Masimba... na inasemekana YEYE Mboni ... alitoa Tzs 200,000/= kama kumtunza Fally Ipuma ili amng'ate (achapwe nao)
Mkuu ina maana goto limekata mapene yamecheua kwa huyo she?
Tshs 200,000.00 ili ang'wate si mchezo. Na mimi ngoja niwe super star ili ning'ate kiulaini, maanake saizi mpaka mijasho itoke ndiyo somo lieleweke au sometimes viatu vya polisi (mabuti) yanalia balaaaa tehe tehe tehe.
 
Ee bwana ndiyoooo! Jamani wadau nimecheka hadi nivunje mbavu....Hivi data zote mnazitoaga wapi??? Mkubwa kama vipi idondoshe na nyeti nyingine za wauza sura haoo!!!
 
Zile Habari Ulizoandika Kwenye wall yangu za kweli bibi.....Fally Ipupa kanambia anakuja huko.....enjoy Mwambie latifa n Loveness Mamuya From Dc Wanakusalimia ukimuona tena mwenzio kiuno miguu mwili wote chokaaa mbaya kwa kucheza lol!!!
SHOSTI MOJA KAMWANDIKIA MBONI ON HER FB PAGE "kim k mbonie masimba" facebook name
 
Back
Top Bottom