Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Usikute Eto'o hakubeba hata huo mzoga ulijipendekeza tu.
Hahahahah kwenye list ya Mseminary Amatus nadhani aliwekwa

na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.
Hahahahah kwenye list ya Mseminary Amatus nadhani aliwekwa
Hahahahah kwenye list ya Mseminary Amatus nadhani aliwekwa
bangi anatumia pia? Halafu mbona si mzuuuri kihivyo?

Hahahaha Mseminary leo anarudi Uswazi wenye mademu bomba mtakiona cha moto lazima mmwagiwe upupu.
Mkuu,
Pole pole tafadhali - hapo penye red wenyewe wakikusikia?
kwani ukiwa celeb lazima uwe mzuri pia?
Hapa akiuza nyago na mdau sijui celeb nani huyu?
Hii styre ya kuweka vidole viwili wabongo bado mnatumia kha!

inaonekana ni mrembo wa kula bata sana eehh.