Hapa ni siku ya Bday part yake recently;
Bata wa kizenj ama? Leo nimeshau miwani yangu
inaonekana ni mrembo wa kula bata/kujirusha sana eehh.
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!
ndio pozi za kisebu hizo Fide!!!!!!!!!
wa bara....hapo na wewe ukifoto nae tayari umekuwa celeb, c ndio?
Dada zetu hata chupi hawavai tena! na haya magonjwa mmmhhh eeehh Mungu kiponye kizazi za nyoka hiki
Hehehe hebu nambie hiyo mbili inamaanisha nn? Naona kanyosha vidole viwili.
Tafadhali bwana......mimi siko huko!
hizo style za maselebriti mimi ntajua Fide jamani!!
hizo style za maselebriti mimi ntajua Fide jamani!!
Manyuki na wewe mi nahisi ni mmoja wao maana unawafahamu ile mbaya......
Kumbe ndo maana Nguli ni celeb! Maana ukiongea naye vidole 2 hewani
Vp ww hupendi uwe celebriti tukufanyie kampeni?
heheeeeee!!!! ngoja ninyamaze........basiKumbe ndo maana Nguli ni celeb! Maana ukiongea naye vidole 2 hewani
A DRUNK will be sobber next day, but a FOOL will remain a FOOL.
Hivi hawa mademu kuna mtu anakuwa anawauza ama vipi? Nimekuwa nikiona ma supastaa wengi toka nje wakija bongo wanakuwa wanajiachia na mademu hawa hawa tu.
Is it that they know how to position themselves strategically or kuna wajanja mjini wanaowaleta hawa wasanii ( e.g. kina Joseph Kusaga) wanawauza hawa mabinti???
Mtu ambaye sikumwona kajiachia na mademu wa kibongo ni 50 Cent tu!!
Hebu tuambiane wakuu, ili kama hii biashara inalipa na mimi ni invest kwenye hii kitu!!
Jamani hebu naombeni namba ya simu ya huyo binti na mimi nijifaidie. Mh! ila sina umaarufu wowote sijui kama atanikubali ila pesa nnazo.[/QUOTE]
hii gia kiboko.....
Jamani hebu naombeni namba ya simu ya huyo binti na mimi nijifaidie. Mh! ila sina umaarufu wowote sijui kama atanikubali ila pesa nnazo.