Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
hahaaaaaa Manyuki bana umenichekesha sana!!!!
ya nini kuwa mseja si waambie vijana wakaoe zenji tu??
Do ze nesesari bathi kale ka- Invisible Thanks!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaa Manyuki bana umenichekesha sana!!!!
ya nini kuwa mseja si waambie vijana wakaoe zenji tu??
Mkuu samahani sana,hahaaaaaa Manyuki bana umenichekesha sana!!!!
ya nini kuwa mseja si waambie vijana wakaoe zenji tu??
Mkuu samahani sana,
Tupe uzuri wa hiyo zenji sie makapera tukajisevie.!
Mjasiliamali
Do ze nesesari bathi kale ka- Invisible Thanks!
Mkuu samahani sana,
Tupe uzuri wa hiyo zenji sie makapera tukajisevie.!
ha ha ha you make my dei!! hii ndio inaitwa bongo cerebral.ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu!
Ukipenda udaku bwana kaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweliJamani tuelezeeni basi.....huyu dada ni nani hapa mjini? anafanya shughuli gani? Mwenye details zaidi azimwage jamvini......!!
Mzee leo nimekudis sana yaani siku zoote huwa unamwaga mipoint ila leo.......au ndo kuteleza nini?????????????????????Jamani hebu naombeni namba ya simu ya huyo binti na mimi nijifaidie. Mh! ila sina umaarufu wowote sijui kama atanikubali ila pesa nnazo.
Yaani wewe lazima unawatumia na ni celeb pia maana jinsi unavyomwaga details............mmmhNenda Savannah pale siku ya Alhamis utawaona tu! Kunywa beer za kigeni na penda kuongea kiinglish ...watakuja tu unajichagulia
Mkuu Masanilo you just made my day eti unaweza kuwa mseja yaani nimecheka hadi utumbo unataka kukatika.Babu Mseminary mapito yake ni marefu sana hapo mjini unaweza ukajikuta umekuwa mseja.....labda wakumbushe vijana kutumia kinga!
nchi hii ilivyo ya ovyo na tusio serious mtu akam huyu au shyrose usishangae akawa mbunge na mwishowe naibu waziri katika wizara flani..dah..watakuwa wamejipanga sana leo.Kaka mlokole hawampati hata kama wameenda kwa babu kule Mapinga.labda kina Robinho
Mambo yale mkuu hayana cha mlikole wala cha mwanandoa