Kutana na Selebu Mboni

hahaaaaaa Manyuki bana umenichekesha sana!!!!

ya nini kuwa mseja si waambie vijana wakaoe zenji tu??
Mkuu samahani sana,
Tupe uzuri wa hiyo zenji sie makapera tukajisevie.!
 
ndugu yangu, huku hata ukiachia ushuzi tu kwenye daladala na clouds wakakujua basi wewe ni celeb... ila sijui ni wanachanganya celebrity na cerebral disease? maana wote wanaojiita ma-celeb ni ma-cerebral tu!
ha ha ha you make my dei!! hii ndio inaitwa bongo cerebral.
 
Jamani hebu naombeni namba ya simu ya huyo binti na mimi nijifaidie. Mh! ila sina umaarufu wowote sijui kama atanikubali ila pesa nnazo.
Mzee leo nimekudis sana yaani siku zoote huwa unamwaga mipoint ila leo.......au ndo kuteleza nini?????????????????????
 
Nenda Savannah pale siku ya Alhamis utawaona tu! Kunywa beer za kigeni na penda kuongea kiinglish ...watakuja tu unajichagulia
Yaani wewe lazima unawatumia na ni celeb pia maana jinsi unavyomwaga details............mmmh
 
Babu Mseminary mapito yake ni marefu sana hapo mjini unaweza ukajikuta umekuwa mseja.....labda wakumbushe vijana kutumia kinga!
Mkuu Masanilo you just made my day eti unaweza kuwa mseja yaani nimecheka hadi utumbo unataka kukatika.
 
Nimekutana nae pale Mzalendo pub anasema JF mna mfagilia sana na lazima atoke na KAKA leo

 
nchi hii ilivyo ya ovyo na tusio serious mtu akam huyu au shyrose usishangae akawa mbunge na mwishowe naibu waziri katika wizara flani..dah..watakuwa wamejipanga sana leo.Kaka mlokole hawampati hata kama wameenda kwa babu kule Mapinga.labda kina Robinho
 

Mambo yale mkuu hayana cha mlikole wala cha mwanandoa
 
jamani mwacheni weee...............ujasiri amali unakuja kwa njia mbali mbali.....mtaji popote wanasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…