Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,710
Mjasiliamali ana duka la viatu na vipodozi, liitwalo Chocolate Princess Boutique Lipo Mikocheni karibu na Kwa Mwalimu kwenye maduka mapya katika jengo la kiota maarufu cha 'Talk of Town' katika barabara iendayo Rose Garden.
![]()
Ni muuza sura pia maarufu mjini, sehemu yeyote akiwepo lazima ahakikishe ame hit na kila mtu amemjua!
nadhaaani hapa mapowdeeeeeeeer hayajaanza kufanya kazi bado usoni...duh!! Hii ni zaman....
