Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

Hapo hakuna timu ya kutuzuia na mechi zote hizo zinachezewa katika viwanja vya dar

Ruvu shooting na KMC pale uhuru
Azam na Namungo ni pale Taifa
kmc game inaenda songea hiyo sahau kabisa
 
Hakuna cha karma wewe, ni ujinga kutoa kiasi ambacho average kila mchezaji atapata 500,000 na kuagiza WAKAWAVUNJEVUNJE WACHEZAJI WA SIMBA , hivi kumbe kuna njaa kiasi hiki wale wehu wangepewa milioni 5 kila mmoja nakuhakikishia wangeingia na visu
Na badi, tutawavunja zaidi...
Maana hamna namna

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Na badi, tutawavunja zaidi...
Maana hamna namna

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Usiku kucha wale vichaa wa dodoma jiji walikuwa wanasimangwa baada ya kushindwa kuvunja miguu na pua ipaswavyo..Its a pity kwa kweli nimewaonea huruma sana SASA HELA INARUDI DSM AU ITATUMIKA KUWAGILIA ULE UWANJA ULIOPAUKA KAMA NGOZI YA LILE JAMAAAAAA?
utopwinyoo.jpg
 
Maoni yako juu ya pesa za bashite na halizotoa happi hatuzikatai japo kiukweli zote zimetolewa kwa malengo yanayofanana,wenye upeo wa mambo hawahitaji maelezo kuhusu hilo...waswahili wanasema raha ya kuimba mpokezane,kwa timu ile mtaandika malalamiko mengi sana msimu huu humu jf.

Utopolo kwa akili yenu mnajiona mna team kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata upatikanaji wa passport, hata pongezi ya mdomo au hata kuwapa elf kumi kumi kwa hatua hiyo kubwa ambayo hata UTOPWINYO imewashinda kabisa

Mlezi akaibukia siku ya mechi ya simba na box lenye burungutu la hela kwamba wakishinda kuna milioni 15 wakitoa sare kuna milioni kumi, walipata hiyo kumi ingawa jana wamepapaswa kimoja hapohapo nyumbani labda kwa vile mlezi hakuhangaika na hiyo mechi

Mlezi mwingine naye ni vilevile ,milioni 15 kwa kumi ila huyu katia fora kwa kweli maana ni kama vile kulikuwa na maagizo pembeni na hela zaida za dodoma jiji kucheza kung-fu ,macho ya wadau yamefunguka kwamba kuanzia sasa kila mechi lazima wachezaji wa simba waumizwe au kufanywa vilema kabisa kisa "pesa za walezi"

Hawa wacheza kung fu waliikosa hiyo hela AMBAYO BINAFSI NASHAURI IELEKEZWE KUMWAGILIA ULE UWANJA ULIOKONDEANA NA KUPAUKA UTADHANI NGOZI YA LILE LI JAMAA ROPOKAJI

*NAONA WATU WANA COMPARE NA HELA ALIYOTOA BASHITE KWA KMC KUIFUNGA YANGA>>>>>>Kmc hawajawahi kuwa na shida ya usafiri kombe la shirikisho, kmc kamwe hawakuwa na maagizo ya kwenda kuvunja viungo vya wachezaji wa utopolo kwa makusudi
Kinachotokea mwaka huu ni uhuni na umafia , imbeciles are so desperate
View attachment 1959934View attachment 1959935
Hawa walezi Ni chambo tu, hela Ni za GSM. Utopolo wamepanga eti simba apate droo 3 na kupoteza mechi 3 ili wao waweze kuwa mabingwa.
 
Nyani haoni kundule,
Kipindi kile cha Makonda zile milioni 20 zilizowekwa kwa ajili ya kumfunga Yanga hazikujadiliwa kabisa ila now kibao kinabadilika na kelele zimekuwa nyingi
Usitumie kosa kuhalalisha ujinga naakonda hakuongea kabla alitoa baadae na pia KMC inamilikiwa na serikali. Upo
 
Back
Top Bottom