Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

Hapo hakuna timu ya kutuzuia na mechi zote hizo zinachezewa katika viwanja vya dar

Ruvu shooting na KMC pale uhuru
Azam na Namungo ni pale Taifa
kmc game inaenda songea hiyo sahau kabisa
 
Hakuna cha karma wewe, ni ujinga kutoa kiasi ambacho average kila mchezaji atapata 500,000 na kuagiza WAKAWAVUNJEVUNJE WACHEZAJI WA SIMBA , hivi kumbe kuna njaa kiasi hiki wale wehu wangepewa milioni 5 kila mmoja nakuhakikishia wangeingia na visu
Na badi, tutawavunja zaidi...
Maana hamna namna

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Na badi, tutawavunja zaidi...
Maana hamna namna

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Usiku kucha wale vichaa wa dodoma jiji walikuwa wanasimangwa baada ya kushindwa kuvunja miguu na pua ipaswavyo..Its a pity kwa kweli nimewaonea huruma sana SASA HELA INARUDI DSM AU ITATUMIKA KUWAGILIA ULE UWANJA ULIOPAUKA KAMA NGOZI YA LILE JAMAAAAAA?
 

Utopolo kwa akili yenu mnajiona mna team kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa walezi Ni chambo tu, hela Ni za GSM. Utopolo wamepanga eti simba apate droo 3 na kupoteza mechi 3 ili wao waweze kuwa mabingwa.
 
Nyani haoni kundule,
Kipindi kile cha Makonda zile milioni 20 zilizowekwa kwa ajili ya kumfunga Yanga hazikujadiliwa kabisa ila now kibao kinabadilika na kelele zimekuwa nyingi
Usitumie kosa kuhalalisha ujinga naakonda hakuongea kabla alitoa baadae na pia KMC inamilikiwa na serikali. Upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…