Mmoja wa hao warembo ni huyu hapa chini anayeitwa Damaris Lewis kutoka Brooklyn New York. Ni mwanamitindo anayesifika sana.
Halafu kuna huyu anayeitwa Arleni Sosa Pena kutoka jamhuri ya Dominica
Mwone na Adaora Akubillo kutoka Nigeria. Ni mwanamitindo huyu
Wamwonaje huyu kutoka Senegal? Anaitwa VeroniqueBoubane na pia mwanamitindo mahiri
Huyu naye ni Tomiko Fraser Hines kutoka New York.Ni mshauri wa vipodozi
Huyu ni Rissikat Bade mzaliwa wa DRC anayeishi Uingereza.Zinachaji sana na uwezo wa kuzungumza lugha 4 za kimataifa kwa ufasaha.Anazungumza Kiingereza, kifaransa, Kirusi, na Kiukraine.
Huyu ni Chavoy Gordon,Miss Jamaica 2011.Anasomea udaktari.
Huyu ni Geidy Mena Cuesta kutoka Colombia.Ni mwanamitindo maarufu sana.
Leila Lopes kutoka Angola.Alikuwa Miss Angola 2010 na Miss Universe 2011.
Kiara Kabukuru kutoka Uganda.Ni mwanamitindo Nguli wa kimataifa.