Kutangaza bei elekezi ya sukari bila kuweka consequences za wauzaji watakao kiuka hakusaidii

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo.

sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi?
Au nyie mamlaka ya sukari nachukua tahadhali gani kukabiliana na watakaokiuka bei elekezi. Short of that mnakuwa wasanii nyie mamlaka ya sukari!

1706080115756.png
 
Sukari haipaswi kushuka... Inatakiwa ipande iwe hata 10000 per kilo.... Maaana waathirika wakubwa ni mashabiki wa mbogamboga fc.
 
Soma documents yote mbona wamesema hatua za kisheria zitachukuliwa.
 
Mnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo.

sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi?
Au nyie mamlaka ya sukari nachukua tahadhali gani kukabiliana na watakaokiuka bei elekezi. Short of that mnakuwa wasanii nyie mamlaka ya sukari!

View attachment 2881257
Ukisoma hapo utadhani wanafanya kweli kumbe maigizo wanaandika mpaka vyeo vyao mhhh kama kweli vile 😂😂😂
 
Back
Top Bottom