Ukisoma hapo utadhani wanafanya kweli kumbe maigizo wanaandika mpaka vyeo vyao mhhh kama kweli vile πππMnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo.
sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi?
Au nyie mamlaka ya sukari nachukua tahadhali gani kukabiliana na watakaokiuka bei elekezi. Short of that mnakuwa wasanii nyie mamlaka ya sukari!
View attachment 2881257
Mbezi nikitokea tangaBwashee uko Mbezi au Buguruni?
ππ
that is my concern, HOW? Nikienda dukani wakasema 5,000 nafanyaje?Soma documents yote mbona wamesema hatua za kisheria zitachukuliwa.