Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Hakuna maandamano ya ghafla namna hiyo yaliowahi kufanyika
 


Kweli kabisa!

Polisi wanatakiwa kutumia mabomu ya machozi tu pale itakapobidi kutawanya waandamanani na siyo silaha za moto!

Hekima na subira inahitajika sana ili kuepuka maafa jamani!

Yasijeyakatokea machafuko !
 
Kesho!!!
Hivi unafanya nn humu mtu mjinga kama wewe? JF siku hizi imejaa watu ambao ni less informed kama wewe?? Kesho anaapishwa yule mkuu wa mkoa kule visiwani.
Sawa mimi mjinga, je mpumbavu na lofa nani bora!

Hongera Mwinyi, hongera Magufuli. Tanzania mpya iko mikononi mwenu na wateule wengu kuunda baraza la mawaziri na kuongoza Taasisi zake
 
Sijui kwamba umeelewa ulichoandika
Ina maana unahimiza maasi
 
National security under threat.
Security level 3 activated. Citizens are advised to stay indoor..
 
Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.

Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Hakuna mbongo anayeweza kufanya hivi. Labda kama una undugu na waarabu
 
Sijui kwamba umeelewa ulichoandika
Ina maana unahimiza maasi
maandamano wakati unaona mbele yako kuna jeshi lenye silaha za kivita ni upuuzi mtupu
mwenye akili hawezi kwenda

viongozi wakae na mabeberu waombe silaha watu watafutane Kwa mtutu sio wengine bunduki wengine mikono mitupu
 
Shida si waitisha maandamano, shida ni waitikia maandano. Hao ndo shida wanaogopa kupigwa risasi, virungu n.k ili hali pia hawajafurahishwa na namna uchaguzi ulivyofanyika.

Kwa sasa nadhani upinzani haswa hasa ACT na Chadema. Watulie hii miaka mitano tuone hali itakuwaje. Wamrisk sana maisha yao kwa ajili ya watanzania wasiojielewa na waliowaoga kupindukia.

Hapa Chingola, watanzania kadhaa wanalaani sana namna watanzania wanavyowaangusha viongozi wa upinzani.
 
National security under threat.
Security level 3 activated. Citizens are advised to stay indoor..

Kama hawana taarifa waambie tumewashikilia mbowe na Lema. Tumeanza na hao. Tutamkamata na Lissu pia
Waache wajitie wabishi
 
Niko live apa Instagram ingia Vocha_za_miladyy_ayo hamna mbuz hata mmoja barabaran [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sexless ( a.k.a dumu la petrol) is no where to be seen.. Mkuu bado siamini kwamba ile mikwara uliyotupiga toka juzi imeishia kwenye upepo😀😀. Bavicha mnachekesha sana
 
Sexless ( a.k.a dumu la petrol) is no where to be seen.. Mkuu bado siamini kwamba ile mikwara uliyotupiga toka juzi imeishia kwenye upepo😀😀. Bavicha mnachekesha sana
mimi nilisema kuandamana mbele ya watu wenye silaha za kivita ni upuuzi mtupu
Kuna maelfu ya vijana wapo tayari kushika mtutu ilia wapambane Lakin sio kujipeleka kijinga
tuleteeni vitu tupambane kabla hatujapoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…