Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Mimi ninacho waomba wale wanaotaka kuandamana waandamane wenyewe, maana hata walipokuwa wabunge walipwa mishahara ya ubunge hawakuja hadharani na kutugai hiyo mishahara yao. Sasa iweje leo wanatuambia tuandamane na rusuzuku na mishahara wamekula wenyewe.

Naomba nani kwenye soko la Shekilango, Mgandini, Samunge, Mwanjelwa, Kiboroloni, aliepewa sehemu ya mshahara wa mbunge leo hii awe na nguvu ya kuandamana.

Tunaomba mlete familia zenu na ndugu zenu muandamane maana nyie ndio mtakao kosa mishahara ya ubunge kwa miaka mitano ijayo.
 
Ukipigwa panapouma lazima uvurugikiwe. Imagine ulikuwa unapokea ruzuku ya zaidi ya 300 million kila mwezi halafu kufumba na kufumbua ruzuku ya mwezi inaporomoka mpaka kufikia size ya “hela ya mboga”. Hapo lazima uwe tayari hata kutafuta msaada wa kiufundi Bagamoyo au Sumbawanga![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maandamano yanahitaji Muamko wa kisiasa...
Watanzania washachoshwaa...

Subiri hali ikiwa ngumuuuuuuuu, ndo yatalipuka yenyewe
 
Acha kurudisha nyuma juhudi za maandamano, kaa kimya bora, usilete mambo ya ulaya zipo nchi nyingi kama Ivory Cost ata kule kwa Omar Bashiri waliandamana bila ya huo upuuzi wako ulioandika lengo la maandamano sio pleasure watu kwenda ku-enjoy, imetokea uchaguzi umeibiwa hivyo wakae mwezi mzima kufanya maandalizi ili mupate muda wa kukodi jeshi kutoka kwa Kagame na Burundi lije kupiga na kuuwa watu bila ya huruma kwa sababu wao si watanzania?

wacha waingie barabarani wadai haki zao mambo mengine mbele kwa mbele.
 
nec hii hii ambayo Mbowe na halima wamekuwa wabunge kwa mihula miwili au hamkumbuki hilo....kususia bunge la corona kumewaharibia sana makamanda!
Mbinu za wizi zimebadirika. Zamani DED na polisi wake wakikuwa wananyakua masanduku na kukimbia nayo, the reason why watu wakaja na dhana ya “kulinda kura”. Halima na Mbowe walikuwa wanashinda kwa taabu kama unakumbuka

Mwaka huu kura zinachakatwa ndani ya vituo humohumo na wewe unayelinda kura nje hata mita 3 tu huwezi kuzuia.
 
Moja ya changamoto za ICC ni kuwa na jela ambazo ni five star hotel.
Yaani mtu anahalalifu kwa kuua wengine akakae five star hotel kama adhabu.

Itabidi tujifunze Kenya waliuana wakamaliza kuuana ila mzee Kibaki hakupelekwa ICC na waliopelekwa wakashinda kesi wakaendelea kula nchi mpaka leo ni viongozi na nwingine ni rais.

Waliokufa wakiitegemea ICC ndio walishakufa.
Uandamane, usiandamane hakikisha unalinda uhai wako na viungo vyako vyote vyamwili na jitahidi sana usiwaamini wanasiasa.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Wanaokwamisha/watakaokwamisha maandamano si polisi...

Hata waandaaji na wahamasishaji wa maandamano wanalielewa hili...

Nasisitiza adui wa maandamano kufanikiwa si polisi..

Natumai ukifikiria vizuri utanielewa.
Huyo mkwamishaji ili mradi hayupo eneo la tukio sisi tutaendelea kuandamana
 
ICC inamhusu Siro. Mnamponza baba wa watu. Ataacha familia yake.

Hivi kwann polisi mnampigania mwizi?
Mbona chadema kama mtoto mdogo tukipigwa tutakimbilia ICC NA BOB AMSTERDAM je ni baba yenu Tanzania tumeamua Magufuli andamana utaona kama Lissu na Mbowe watakuja kukutembelea mahabusu. Mnatishia Libya waliandamana je Libya iko wapi sasa?? Msilete utani na amani yetu .Lissu anatakiwa kuwa medical appointment Belgium
 
1. hakikisha unaomba kibali cha kufanya maandamano.

Kibali kitakuruhusu ufanye maandamano wapi, upite wapi, upewe ulinzi na polisi na pia uwe na muda maalum wa kufanya maandamano hayo.

Usichukue hizi guideliness za mitandaoni na kuzimwaga zote hapa zingine huenda haziendani na utaratibu wa nchi husika.

Kibali ni lazima kwa Tanzania na ulitakiwa uweke namba moja yaani ni priority.
 
Mm destination yangu ni ofisi ya Mkurugenzi ama gari lake. Nikiwa nimebeba petroli kwenye dumu la lita 5 na kiberiti.

Nikiwa mlangoni nakunywa nusu ya dumu la lita 5 nusu najimwagia halafu nawasha moto naenda kumkumbatia mkurugenzi.
Kamanda una mambo ya kitoto sana
 
Binafsi nakataa mapendekezo yako ila 1 tu nakubaliana nalo
"Tuanzie wapi" pia viongozi watakuepo wao wataanzia wapi? Hayo mengine ni kama kutangaza vita na silaha utakazotumia unategemea afui yako atakuja kijinga? Lazma nae ajipange
 
Hivyo vifungu ulivyoandika ni vipengele vya kuandaa mkutano wa Send-off sio maandamano. Maandamano gani yana wasanii unafikiri sherehe hiyo? Nonsense.
 
Moja ya changamoto za ICC ni kuwa na jela ambazo ni five star hotel.
Yaani mtu anahalalifu kwa kuua wengine akakae five star hotel kama adhabu.

Itabidi tujifunze Kenya waliuana wakamaliza kuuana ila mzee Kibaki hakupelekwa ICC na waliopelekwa wakashinda kesi wakaendelea kula nchi mpaka leo ni viongozi na nwingine ni rais.

Waliokufa wakiitegemea ICC ndio walishakufa.
Uandamane, usiandamane hakikisha unalinda uhai wako na viungo vyako vyote vyamwili na jitahidi sana usiwaamini wanasiasa.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Yaani lazima niandamane nife kishujaa nikitetea haki yangu, kuliko kufa nimechutama kwa kupokwa haki yangu.

Mifano yako ya Kenya wala haisadifu kilichofanyika Tanzania. Huyu mhutu huyu lazima tumuondoe kwa aibu.
 
Makamanda njooni barabarani hiyo j3 bila kukosa, tunawasubiri kwa hamu ili tuwanyooshe.
 
Nilivyosoma hapo #5 nikacheka sana..

Viongoz wa DINI hamkuwatambuaa hapo MWANZO ndio mje muwahusishe LEO???!

Hivi we kenge unafatilia hata vyombo vya Habari kujua hao viongozi wa dini wanaongea nini? Unachekesha..
 
Makamanda njooni barabarani hiyo j3 bila kukosa, tunawasubiri kwa hamu ili tuwanyooshe.
Unamponza Siro, wewe ni kidampa tu mpiga porojo kwenye keyboard. Tunapambana na wenye mbwa sisi hatpambani na mbwa.
 
Back
Top Bottom