Uchaguzi 2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.

Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili maandamano yafanikiwe kuna hatua muhimu lazima zizingatiwe.

  1. Lazima kuwe na sababu (issue) inayogusa jamii. Unaweza kutangaza maandamano ukakuta watu hawana interest nayo.
  2. Chagua ‘theme’ kauli mbiu itakayokuwa common kwa wote itakayotoa hamasa mfano, uonevu sasa basi au wimbo wa ujasiri.
  3. Toa taarifa kwa taasisi za misaada kama Red Cross na andaa utaratibu wa misaada ya haraka kwa waandamanaji watakaozidiwa wakati wa maandamano mfano maji na huduma ya kwanza.
  4. Tayarisha eneo mwafaka destination la kutolea matamko yako (open space, ofisi za serikali, nk) usitoe matamko ofisini kwako.
  5. Alika ‘known public speakers’ watakaotoa hotuba fupi fupi zisizochosha mfano viongozi wa dini, wasanii nk.
  6. Andaa mziki na wasanii watakaoburudisha.
  7. Andaa shelters mahema, jukwaa kama kuna ulazima.
  8. Andaa mabango yenye kuvutia na kufikisha ujumbe mfupi (inclusive) usibague kundi lolote la jamii.
  9. Kama lazima pata vibali au toa taarifa kwa mamlaka husika.
  10. Alika vyombo vya habari vya ndani na vya nje ikiwezekana vipe taarifa mapema kwa simu ama maandishi, email nk.
  11. Tumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook, Instagram, You Tube nk kuhamasisha watu.
  12. Ijulishe jamii ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu na marafiki kusudio lako la kufanya maandamano ya amani ukinukuu vifungu vya sheria vinavyo kusapoti.
  13. Mwisho kabisa hakikisha wafuasi na waandamanaji hawavunji sheria wala kufanya fujo.

Utaambiwa msaliti
 
Hayo sio maandamano ni fiesta
 
Tanzania kufanikisha maandamano🤔 labda mpike wali-kuku, watu ndo watajitosa kufia hapo, hivihivi POLICE TANZANIA hawafai wale watu mpaka uwe umeshiba🤔
Mm naenda kufa na polisi mmoja kesho. Nikipigwa kirungu nakamata mmoja nahakikisha kaenda peponi
 
Mamilioni ya vijana wapo tayari kupambana na utawala dhalim
Wanataka silaha waingie porini sio eti waandamane mbele yao kuna watu Wana silaha za kivita
 
Mimi siamini maandamano ni jambo la busaara mbele ya jeshi lenye silaha
Afadhali na sisi tungepewa mtutu tupambane
Hapana. Silaha haitumiki kwa mtu asiye na silaha. Amnesty international inasema hivyo.

Sasa Siro akituua kesho icc itamhusu. Ataiacha familia yake.
 
Mtoa mada wewe ni mwanachama wa chama gani?
Umeshaacha kuwa Mtumishi wa Umma maana ulitoa ahadi yako hapa jukwaani.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Umeongea points tupu. Huwez kumwamsha mtu akaandamane wakati hajui mwisho wa siku maandamano yanaishia ikulu au Kariakoo sokoni
Destination ni ofisi za tume ya uchaguzi
 
Mpaka leo nani kafungwa huko? Kenyata mpaka leo Rais ebu lala dogo
Kenya polisi haikuhusika na mauaji. Ilikuwa ni maolpigano Kati ya wafuasi wa vyama. Kenyatta na Ruto walishitakiwa kwa kuwachochea.

Sasa hapa mnamdanganya Siro auwe watu.
 
Tumia social media?Wakati internet hakuna?

Aombe kibali Kwa Ngedere kuandamana kumlaani nyani?
Maandamano ya kisiasa mara nyingi huwa ni impromptu na hayahitaji kibali kwa sababu ukiomba kibali hautapewa.

Destination mara nyingi huwa ni ofisi za umma mnazodemand mabadiliko.

Hata haya wamesema destination ni ofisi za wasimamizi wa uchaguzi
 
Hata mimi najua Hilo
Kwa kweli kuandamana MIKONO mitupu mbele yenu kuna jeshi lenye silaha za kivita ni akili kweli???
Kama watatupa na sisi silaha tutapambana lakini hivi hivi No!!
Hawajatangaza vita wametangaza maandamano
 
Hata Libya maandamano yalianza kama utani lkn baadaye ikawa hatari.

Watu wanaongelea eti Zanzibar imeshindikana. Pemba ni eneo dogo Sana na population siyo kubwa kiviiiile.

Sasa yamekuja huku bara. Mtaona.
Huku bara watu wengi waonga hawawez kuandamana wanaogopa police
 
Kaka Una hoja nzuri lakini njoo kwenye uhalisia utaona mengi hapo hayatawezekana.
 
tatizo la wapinzani wa tanzania wao wanajifanyaga parfect mno na wamejipa kazi ya kutukana na kutoa vitisho kwa mamlaka alafu muda huo huo wanataka watendewe haki, huu ni upumbavu wa hali ya juu na kama hawapo tayari kuuacha utawagharimu sana kisiasa
 
Back
Top Bottom