Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk
Tungerekebisha miji yetu ya utalii, hasa Arusha. Ipate lami kila kona, taa za barabarani, usafi wa kiwango cha kimataifa, usalama nk nk.
Tungerekebisha miji yetu ya utalii, hasa Arusha. Ipate lami kila kona, taa za barabarani, usafi wa kiwango cha kimataifa, usalama nk nk.