.Asante.Hamtakuwa na matangazo ya TV na RADIO.Amen. Karibu sana!
Njoo uone moto katika kumsifu Mungu uone kama utapata akili hizo.
Naruhusiwa kuja na mwenzangu???Muda ni kuanzia saa 3 usiku hadi saa 11 asubuhi.
cute b vipi hii?? Hatuendi??Nyote mnakaribishwa ..