uzi huu hauna tofauti na nyuzi zangu za kuwaarika watu kufuatilia semina za afya, mahusiano na neno la Mungu.
Dodoma net event: uzoefu wa nguvu za Mungu. cha ajabu hata nilipolalamika jukwaa la complains malalamiko nayo yakafutwa .
nadhani kuna siku mashetani huwa wanaiba mouse za Mods.