Kutapatapa kwa Joyce Kiria; wanawake laivu yakimbiwa na wadhamini,ajikomba warudi

Simpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
 
Duh naona Uzi umegeuka toka ubuyu hadi siasa, jamani hebu tujadili ki SHILAWADU
 
Sikilizaa wewe labda hujui....Joy yupo EATV..ana misimamo ya Uchadema Wakampa mkwara Kabla ya hapo Wadhamini wamemkimbiaa..ivyo asitafute cheap popularity.. I know her more than you..uhaousegal haujamtoka ndani yake(sisemi kuwa housegal Ni mbaya ninaye wangu mzurii ananilelea Mtoto)but yy uhaugal unamsumbua yaani kifupi Arudi shule kuwa Intellectual
 
Simpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
Hujasikiaa..yupo analialia Instagram KILEO Kamkimbia Nyumbani harusi..Tembelea IG Ac yake..Na bado
 
you know her more than me so what??, wewe ndio umeanza kuniquote jikate manzee....
 
Dah..hata kama fedha ya mafisadi itawanunua makamanda wote ....lakini wanamabadiliko ya kweli tutashinda..hata ikibidi kuwabatiza Kwa moto au Kwa kuwapoteza na iwe.. Tanzania mpya isiyo na mafisadi, wazembe na wala rushwa inakuja.. Mungu Msaidie JPM
 
Utafanyaje Harakatii za Ukombozi uku una njaa, Joyce kafanya Perfect Move...
 
Mkuu nina amini kama wata thubutu kuandamana baada ya hapo watamuelewa Joyce Kiria.
 
Mimi huwa nikiona mawazo ya makamanda huwa natoa lawama kwa TANAPA kuruhusu nyumbu kuja mtaani.

Pengine unaye jadiliana nae ni mgeni wa siasa hapa nchini.. Joyce anajua fika kilicho mpata mumewe na alivyo hangaika kwenye vyombo vya habari vya Mengi kuomba air time ili apaze sauti lakini hakuna rafiki yake mumewe wala hao chadema kujitokeza kumwambia au kumtuliza na kumueleza alipo mumewe.

Hebu makamanda watwambia hali walizo nazo familia zile zilizopotelewa na watu wao kwenye maandamano ya Arusha.

Hata Josephine na Mumewe walijitolea sana tena sana lakini mwisho wa siku waliambulia matusi ..

Tunajua siasa ni ku take risk lakini si ya namna hii wakati unajua fika kabisa utaumia.. Joyce anajua fika kabisa mumewe likimpata jambo yeye ndio atabeba mzigo si chadema ndio maana ana paza sauti yake.
 
Simpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
Hebu twambie Kilewo ana maendeleo gani tangu aanze kuandamana?

Hivi kuandamana na kuvunjwa miguu ndio maendeleo?
 
Swala la yeye kutokuwa na wadhamini ni swala la kibiashara tuu. Hata kipindi ana anza hicho kipindi hakuwa na wadhamini. Hata hivyo si kipindi chake pekee hakina wadhamini vipo vingi.
 
Dah..hata kama fedha ya mafisadi itawanunua makamanda wote ....lakini wanamabadiliko ya kweli tutashinda..hata ikibidi kuwabatiza Kwa moto au Kwa kuwapoteza na iwe.. Tanzania mpya isiyo na mafisadi, wazembe na wala rushwa inakuja.. Mungu Msaidie JPM
Tatizo makamanda hawa hawataki kukubali maandamano si suluhu hata fisadi wao alisema akiwa azam ahamini maandamano kama ni suluhu.

Lowasa amekaa serikalini siku nyingi anajua fika kitakacho tokea....
 
Utafanyaje Harakatii za Ukombozi uku una njaa, Joyce kafanya Perfect Move...
Kweli kabisa wao wameshiba wanataka wenzao wakae na njaa..

Joyce anahitaji maziwa ya mtoto wao wanamwambia kaza kaza tuu kamanda tutafika... Hahahaha
 
google
 
Kweli kabisa wao wameshiba wanataka wenzao wakae na njaa..

Joyce anahitaji maziwa ya mtoto wao wanamwambia kaza kaza tuu kamanda tutafika... Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hio sentesi mi inanichekesha.... hawa watu hawana huruma ati... akaze maziwa yatatoka lol
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hio sentesi mi inanichekesha.... hawa watu hawana huruma ati... akaze maziwa yatatoka lol
Mumewe alipokuwa sero alimuuliza Joyce "Rafiki yangu fulani amekutafuta? Joyce ilibidi alie akamwambia hapana .. Sasa sijui wanatarajia Joyce awaunge mkono kwenye huu unyumbu au nini? Lakini watu lazima watambue mchuma janga hula na wakwao...
 
tuwe tu wakweli hawa wenzetu hawajui kuthamini michango ya wapambanaji wao na hilo linakatisha tamaa kwakweli,kuanzia kina wolper mpaka kwa joyce..... juhudi zako zipoonyesha kuthaminiwa ya nini uteseke zaidi wakati wao wanapachikana na mahawara zao.... its sad kwakweli kuanzia kwa slaa walinichoshaa
 
Hebu twambie Kilewo ana maendeleo gani tangu aanze kuandamana?

Hivi kuandamana na kuvunjwa miguu ndio maendeleo?
Maendeleo kisiasa yanakuja polepole hata kina mbowe wameanzia mbali. Upinzani ni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…