Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipo hakijafungiwamrudisheni joyce kipindi chake,,,
kwa kumfungia mnaonyesha,alikua sahihi
Sikilizaa wewe labda hujui....Joy yupo EATV..ana misimamo ya Uchadema Wakampa mkwara Kabla ya hapo Wadhamini wamemkimbiaa..ivyo asitafute cheap popularity.. I know her more than you..uhaousegal haujamtoka ndani yake(sisemi kuwa housegal Ni mbaya ninaye wangu mzurii ananilelea Mtoto)but yy uhaugal unamsumbua yaani kifupi Arudi shule kuwa Intellectualsamahani kamanda sikukuquote ulitakiwa uandike mawazo yako wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3],vipi wewe ndie kamanda uliekuwepo ili umsaidie joyce au na wewe unatetea tu makamanda wenzio? huo ndio ukweli hawakumsaidia ndio maana joyce kachoka, wanawake huwa hatuwezi huo ukomando kipensi wa uvumilivu kama wanaume, wangekuwa walisaidiwa leo joyce wala asingemkataza mmewe upo nyonyo
mtazamo wako jitahidi uandike independently bila kuniquote....
Hujasikiaa..yupo analialia Instagram KILEO Kamkimbia Nyumbani harusi..Tembelea IG Ac yake..Na badoSimpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
you know her more than me so what??, wewe ndio umeanza kuniquote jikate manzee....Sikilizaa wewe labda hujui....Joy yupo EATV..ana misimamo ya Uchadema Wakampa mkwara Kabla ya hapo Wadhamini wamemkimbiaa..ivyo asitafute cheap popularity.. I know her more than you..uhaousegal haujamtoka ndani yake(sisemi kuwa housegal Ni mbaya ninaye wangu mzurii ananilelea Mtoto)but yy uhaugal unamsumbua yaani kifupi Arudi shule kuwa Intellectual
Mkuu nina amini kama wata thubutu kuandamana baada ya hapo watamuelewa Joyce Kiria.Joyce hamkanyi mume wake tu au hawaonei huruma watoto wake tu. Anazungumzia madhila yote yatakayozipata familia zinazojifanya. Yesu kubeba msalaba wa upupu kwa kisingizio cha demokrasia. Tumetangaziwa kuna wilaya zitakazokumbwa na njaa mbona huu ukuta hauzungumzii kuzuia njaa? Demokrasia ni nini? Ni kuweka familia yako rehani bila kujali mateso inayopata? Watu wanajitoa ufahamu na kuthubutu kudai wanapigania ukombozi wa watanzania. Kweli? Hivi mlikuwa wapi wakati maelfu ya watoto wa kitanzania wakikaa chini mashuleni mpaka alipokuja mzee wa kunguruma madawati yakanyesha kama mvua. Mnakoelekea siko. Hamtaki kuona wala kusikia. Naamini iko siku mtasahau hata majina yenu. Wanaombeza Joyce kuwa ni hgirl laiti hao wote wangkuwa kama yeye tz ingekuwa nchi ya viwanda ndani ya miaka m3.
Mimi huwa nikiona mawazo ya makamanda huwa natoa lawama kwa TANAPA kuruhusu nyumbu kuja mtaani.samahani kamanda sikukuquote ulitakiwa uandike mawazo yako wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3],vipi wewe ndie kamanda uliekuwepo ili umsaidie joyce au na wewe unatetea tu makamanda wenzio? huo ndio ukweli hawakumsaidia ndio maana joyce kachoka, wanawake huwa hatuwezi huo ukomando kipensi wa uvumilivu kama wanaume, wangekuwa walisaidiwa leo joyce wala asingemkataza mmewe upo nyonyo
mtazamo wako jitahidi uandike independently bila kuniquote....
Hebu twambie Kilewo ana maendeleo gani tangu aanze kuandamana?Simpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
Swala la yeye kutokuwa na wadhamini ni swala la kibiashara tuu. Hata kipindi ana anza hicho kipindi hakuwa na wadhamini. Hata hivyo si kipindi chake pekee hakina wadhamini vipo vingi.Sikilizaa wewe labda hujui....Joy yupo EATV..ana misimamo ya Uchadema Wakampa mkwara Kabla ya hapo Wadhamini wamemkimbiaa..ivyo asitafute cheap popularity.. I know her more than you..uhaousegal haujamtoka ndani yake(sisemi kuwa housegal Ni mbaya ninaye wangu mzurii ananilelea Mtoto)but yy uhaugal unamsumbua yaani kifupi Arudi shule kuwa Intellectual
Tatizo makamanda hawa hawataki kukubali maandamano si suluhu hata fisadi wao alisema akiwa azam ahamini maandamano kama ni suluhu.Dah..hata kama fedha ya mafisadi itawanunua makamanda wote ....lakini wanamabadiliko ya kweli tutashinda..hata ikibidi kuwabatiza Kwa moto au Kwa kuwapoteza na iwe.. Tanzania mpya isiyo na mafisadi, wazembe na wala rushwa inakuja.. Mungu Msaidie JPM
Kweli kabisa wao wameshiba wanataka wenzao wakae na njaa..Utafanyaje Harakatii za Ukombozi uku una njaa, Joyce kafanya Perfect Move...
Joyce Kiria ni nani? Nini sababu ya kukimbiwa na wadhamini? Nini sababu ya kutangaza uhusiano na serikali ya awamu ya 5? Je, awamu iliyopita hakuikubali? Uhusiano wa Kilewo na kuoa ni nini?
Jaribu kueleza vizuri ili kila msomaji aelewe kinachoelezwa hapa. Siyo wote wanaishi TZ na siyo wote wanamfahamu huyo Joyce.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hio sentesi mi inanichekesha.... hawa watu hawana huruma ati... akaze maziwa yatatoka lolKweli kabisa wao wameshiba wanataka wenzao wakae na njaa..
Joyce anahitaji maziwa ya mtoto wao wanamwambia kaza kaza tuu kamanda tutafika... Hahahaha
Mumewe alipokuwa sero alimuuliza Joyce "Rafiki yangu fulani amekutafuta? Joyce ilibidi alie akamwambia hapana .. Sasa sijui wanatarajia Joyce awaunge mkono kwenye huu unyumbu au nini? Lakini watu lazima watambue mchuma janga hula na wakwao...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hio sentesi mi inanichekesha.... hawa watu hawana huruma ati... akaze maziwa yatatoka lol
tuwe tu wakweli hawa wenzetu hawajui kuthamini michango ya wapambanaji wao na hilo linakatisha tamaa kwakweli,kuanzia kina wolper mpaka kwa joyce..... juhudi zako zipoonyesha kuthaminiwa ya nini uteseke zaidi wakati wao wanapachikana na mahawara zao.... its sad kwakweli kuanzia kwa slaa walinichoshaaMumewe alipokuwa sero alimuuliza Joyce "Rafiki yangu fulani amekutafuta? Joyce ilibidi alie akamwambia hapana .. Sasa sijui wanatarajia Joyce awaunge mkono kwenye huu unyumbu au nini? Lakini watu lazima watambue mchuma janga hula na wakwao...
Maendeleo kisiasa yanakuja polepole hata kina mbowe wameanzia mbali. Upinzani ni kaziHebu twambie Kilewo ana maendeleo gani tangu aanze kuandamana?
Hivi kuandamana na kuvunjwa miguu ndio maendeleo?