Kutapatapa kwa Joyce Kiria; wanawake laivu yakimbiwa na wadhamini,ajikomba warudi

Upinzani bhana, ukiwakosoa tu sio mwenzao duuu
 
 
Joyce Kiria kawavua nguo laivu hadharani mchana kweupeee.. sasa mko mnahaha na kutapatapa badala ya kuchutama mufiche aibu zenu, mulivyo manyumbu mmeinama kuokota tope mjisitiri.. matokeo yake mmeachia duka lote wazi nje nje pwaaaa watu wanawadhihaki... na kwa kizazi hiki cha selfie... tutawakarekodi na kuwa haunt nazo mpaka mnyooshe mikono...

Narudia tena kushindana na Joyce Kiria a mere non political figure ordinary citizen ni kuanguka kwenu kisiasa kwa mara nyingine tena... hapo ni mnajaribu kushindana na umma wa mtanzania kitu ambacho kamwe hamtofaulu na lazima muangukie pua...

If Joyce akiria is not safe in your hands ni mtanzania gani wa kawaida atakua salama mikononi mwenu??
 
Joyce amewaaanika mtu ana hitaji wamsaidie mahitaji ya nyumbani wao wanamwambia kaza kamanda kaza kamanda.
 
Joyce amewaaanika mtu ana hitaji wamsaidie mahitaji ya nyumbani wao wanamwambia kaza kamanda kaza kamanda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama wa watu kaona isiwe shida safari hii kaamua kuwakazia makamanda....

Saa hizi wako bize wanamtafuta gwajima akamtulize mzuka dizaini walivyojaribu kwa mshumbusi...
 
Kachanganya siasa na mambo ya jamii mbaya sana!!!lazima wadhamini wakimbie
 
Sihitaji ushauri wako coz we ulipo ona comment yangu ukakimbilia kujibu
 
Ndio hatujakataa lakini sio kuweka mambo yao ya ndani na kuyachanganya na chadema tena kwenye mitandao
 
Hiki wanachofanya CHADEMA ndio udikteta uchwara. Hawataki watu wenye mawazo mbadala
Joyce yupo sahihi,chochote kitakachompata mumewe yy ndo ataumia na zaidi mzigo wa majukumu utamuangukia yy. Nadhani anaogopa yale aliyopitia kipindi mumewe kawekwa ndani yanaweza jirudia na makamanda wakamtosa. Aisee kwa mwenye fikra finyu atamwona huyu dada anajikomba lkn kama ushawahi pitia haya huwezi kamwe mbeza. Wapi

Josephine na Slaa walojeruhiwa kwa risasi kipindi cha maandamano? Washasahaulika na kejeli juu
 
Kuna uwongoo mwingine haunogi. Wote tuliona Chadema wanavyopambana Na kumpelekea mwanasheria.Joy kasema marafiki binafsi..halafu ingekuwa ivyo KILEO mwenyewe angekata Tamaa Joyce njaa inamuumbua.
Mkuu vp mbona jazbaaaa? Au nawe ni kiongozi kwenye hicho chama nn?
 
Huyu ni miongoni mwa wale makamanda uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…