Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani kamanda sikukuquote ulitakiwa uandike mawazo yako wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3],vipi wewe ndie kamanda uliekuwepo ili umsaidie joyce au na wewe unatetea tu makamanda wenzio? huo ndio ukweli hawakumsaidia ndio maana joyce kachoka, wanawake huwa hatuwezi huo ukomando kipensi wa uvumilivu kama wanaume, wangekuwa walisaidiwa leo joyce wala asingemkataza mmewe upo nyonyo
mtazamo wako jitahidi uandike independently bila kuniquote....
Joyce Kiria kawavua nguo laivu hadharani mchana kweupeee.. sasa mko mnahaha na kutapatapa badala ya kuchutama mufiche aibu zenu, mulivyo manyumbu mmeinama kuokota tope mjisitiri.. matokeo yake mmeachia duka lote wazi nje nje pwaaaa watu wanawadhihaki... na kwa kizazi hiki cha selfie... tutawakarekodi na kuwa haunt nazo mpaka mnyooshe mikono...Habari za uhakika ni kwamba wadhamini wa kipindi cha wanawake laivu wameacha kukidhamini kipindi hicho
Katika hali yakubabaika mwanadada huyo kageukia chama cha mapinduzi ili kimsaidie na kama hatua ya awali amesema atafanya kazi na serikali ya awamu ya tano
Njaaa ni hatari,pole kilewo,kosea kingine usikosee kuoa
Kama ilivyo kwa mwenyekiti mpu.mbavu alivyokibomoa chama chake mwenyewe...Mwanamke mpu.mbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe...
Joyce amewaaanika mtu ana hitaji wamsaidie mahitaji ya nyumbani wao wanamwambia kaza kamanda kaza kamanda.Joyce Kiria kawavua nguo laivu hadharani mchana kweupeee.. sasa mko mnahaha na kutapatapa badala ya kuchutama mufiche aibu zenu, mulivyo manyumbu mmeinama kuokota tope mjisitiri.. matokeo yake mmeachia duka lote wazi nje nje pwaaaa watu wanawadhihaki... na kwa kizazi hiki cha selfie... tutawakarekodi na kuwa haunt nazo mpaka mnyooshe mikono...
Narudia tena kushindana na Joyce Kiria a mere non political figure ordinary citizen ni kuanguka kwenu kisiasa kwa mara nyingine tena... hapo ni mnajaribu kushindana na umma wa mtanzania kitu ambacho kamwe hamtofaulu na lazima muangukie pua...
If Joyce akiria is not safe in your hands ni mtanzania gani wa kawaida atakua salama mikononi mwenu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Joyce amewaaanika mtu ana hitaji wamsaidie mahitaji ya nyumbani wao wanamwambia kaza kamanda kaza kamanda.
Acha zako wewe wakati huo Magembe anafanya niniSimpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
Kamatia Revola ya jero tuu fasta ujigonge selfie kama ndio 1st timer kuyaona manyama nyama ya juu ya magoti...Mapaja Live
Nilichouliza kiko google? Google ina uhusiano na wa huyo Kiria na serikali? Inasema juu ya Kilewo? Rubbish!
Sipigi punyetoo nashafanya sana ngonoKamatia Revola ya jero tuu fasta ujigonge selfie kama ndio 1st timer kuyaona manyama nyama ya juu ya magoti...
Hatujahitaji historia yako ya kingono mkuu..Sipigi punyetoo nashafanya sana ngono View attachment 378300
Sihitaji ushauri wako coz we ulipo ona comment yangu ukakimbilia kujibuHatujahitaji historia yako ya kingono mkuu..
Ulikua ni ushauri tu wa bure baada ya kukuona unatoka kwenye reli kwa kushobokea mapaja..
Unaweza ukauchukua ama ukaacha...
Kawaida mwenyeji wa shughuli hastushwi na nyama za juu ya magoti... only mgeni!! Only mgeni...
Asante.Nilichouliza kiko google? Google ina uhusiano na wa huyo Kiria na serikali? Inasema juu ya Kilewo? Rubbish!
Mtu kama wewe ndo una-google kutafuta pesa upate wapi?
Ndio hatujakataa lakini sio kuweka mambo yao ya ndani na kuyachanganya na chadema tena kwenye mitandaoHajakosea dada wa watu,yeye kama mke ana haki yakumshaur mumewe na kumuongoza,yey sio fala amwone mumewe anashiriki ujinga akae kimya,amejifunza kwa mke wa Slaa alikua anaandamana na virungu anachezea mwishowe Chadema Ssacos ikauzwa kwa mhamiaji bila kushirikishwa
Joyce yupo sahihi,chochote kitakachompata mumewe yy ndo ataumia na zaidi mzigo wa majukumu utamuangukia yy. Nadhani anaogopa yale aliyopitia kipindi mumewe kawekwa ndani yanaweza jirudia na makamanda wakamtosa. Aisee kwa mwenye fikra finyu atamwona huyu dada anajikomba lkn kama ushawahi pitia haya huwezi kamwe mbeza. WapiHiki wanachofanya CHADEMA ndio udikteta uchwara. Hawataki watu wenye mawazo mbadala
Anaijenga tena kwa gharama kubwa mno ambayo mpumbavu yyt hawezi juaMwanamke mpu.mbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe...
Yaani hata msaada hawatampaKiria anaogopa yasimtokee ya mke wa mwangosi
Mkuu vp mbona jazbaaaa? Au nawe ni kiongozi kwenye hicho chama nn?Kuna uwongoo mwingine haunogi. Wote tuliona Chadema wanavyopambana Na kumpelekea mwanasheria.Joy kasema marafiki binafsi..halafu ingekuwa ivyo KILEO mwenyewe angekata Tamaa Joyce njaa inamuumbua.
Huyu ni miongoni mwa wale makamanda uchwarasamahani kamanda sikukuquote ulitakiwa uandike mawazo yako wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3],vipi wewe ndie kamanda uliekuwepo ili umsaidie joyce au na wewe unatetea tu makamanda wenzio? huo ndio ukweli hawakumsaidia ndio maana joyce kachoka, wanawake huwa hatuwezi huo ukomando kipensi wa uvumilivu kama wanaume, wangekuwa walisaidiwa leo joyce wala asingemkataza mmewe upo nyonyo
mtazamo wako jitahidi uandike independently bila kuniquote....