Kutapatapa kwa Joyce Kiria; wanawake laivu yakimbiwa na wadhamini,ajikomba warudi

Simpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
Ndo maana hakuolewa na kakako. Tulia tu usubirie hy sept 1 ukatwe miguu
 
Nyinyi mmekaa mkitumia vidole vyenu kuandika bila kufikiri kuwa huyo mwanadada anayezungumza naye ni mumewe.
yeye[mke] ndiye anayeyajua madhila yaliyompata wakati mumuwe alikuwa matatizoni. Hakuona marafiki wala wanachama wenzake kumsaidia [both physically and emotionally] alibaki peke yake na watoto. Hivi mnaweza kupima maumivu aliyoyapata kutokana na hali hiyo? Kwangu mimi nimesoma makala yake na nionavyo mimi mume wake kiriya amepata mke bora sana na mungu ajaaliye naye aone hivyo. Na kwa wale wanaomponda huyu mama hawaelewi maumivu wanayopata wake zetu kwenye mazingira kama haya.
 
Sihitaji ushauri wako coz we ulipo ona comment yangu ukakimbilia kujibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usipanic mjomba JF ni jukwaa huru...
Kama hupendi kujibiwa kaa kimya...
Hapa hata Mwenyekiti akichangia hoja anajibiwa tuu...
 
Sept 1st tutaokota mizoga mingi sana.. Sisi tupo tunasubiri sinema tuone nani mbabe wao na Magu.. Siku hiyo ata ambulance zitafungiwa akiyekatwa mguu akatibiwe Billcanas
Watu inabidi wawe makini sana na haya maswala! Kuna waliobakia vilema mpaka leo
 
..shetani at work. Yaani wafausi wa chama mfu mmekuwa na mihemuko ya ajabu, usikute hata siku Lowasa akiamua kuanzisha chama chake mtamtukana matusi ya nguoni.
 
c njaa ni mapenzi ya dhati kwa mme wake aendelee kumwomba Mungu juu ya mme wke kwa sababu hii issue iko very serious
 
c njaa ni mapenzi ya dhati kwa mme wake aendelee kumwomba Mungu juu ya mme wke kwa sababu hii issue iko very serious
Hivi kuna mtu alijitoa kama huyu? Ameishia kupata matusi kutoka kwa chadema
 
aisee inasikitisha.....ukicheki makamanda wanaompondea joy hapa hata hio sept hawatakuwepo.. ni makamanda wa nyuma ya keyboards tu teh
Nina kwambia wote watakuwepo humu Jf wakipost yanayo endelea mtaani. Unahitaji kuvuta bangi kwenda kuandamana.

Watu wanashindwa kujiuliza hivi Mume wa Kiria anapovunjwa miguu nani anapata hasara? Nina hakika watamkumbuka huyu dada japo leo wanamtukana.

Lowasa mwenyewe alisema maanadamano si suluhu mbona hawakumtukana kama wanavyo fanya kwa huyu dada.

Huyu dada wanamuita ni standard seven lakini anawazidi uwezo wa kufikiri nje ya box.. Amewambia hawana uwezo wa kupambana na mtu mwenye majeshi halafu wao wanamtukana.. Ameshauri watafute njia ya kuongea nae.. Lakini wanaishia kumtukana.
 
Busara si vocha ya simu kwamba mtu anaweza kununua dukani ili kuongeza muda wa maongezi . wajiongeza wasisubiri kuongezwa.
 
Sept 1st tutaokota mizoga mingi sana.. Sisi tupo tunasubiri sinema tuone nani mbabe wao na Magu.. Siku hiyo ata ambulance zitafungiwa akiyekatwa mguu akatibiwe Billcanas
Halafu baada ya hapo mtu anachukuliwa kwenda The Hague
 
Yani watu bana Joyce uyo naye anawaumiza kicha kila cku dha
 
Unaweza kuitwa kamanda na sifa kede kede na chadema, lakini siku ukitofautiana nao utaanza tukanwa na kusemwa we msaliti na mengine kama vile sio wao waliokuwa wanakuita kamanda.
Imetokea kwa slaa ma mshumbusi, zitto, mpendazoe, sasa kwa joyce.
Kama ilivyo kwa CCM! Imetokea kwa Lowassa, Sumaye, Mgeja; nakadhalika.....
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜±πŸ˜±
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…