Ndo maana hakuolewa na kakako. Tulia tu usubirie hy sept 1 ukatwe miguuSimpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana hakuolewa na kakako. Tulia tu usubirie hy sept 1 ukatwe miguuSimpendi huyu anamsababishia mimewe Kilewo asiendelee. Kilewo angeshakuwa mbunge wetu upareni long time
Nyinyi mmekaa mkitumia vidole vyenu kuandika bila kufikiri kuwa huyo mwanadada anayezungumza naye ni mumewe.Habari za uhakika ni kwamba wadhamini wa kipindi cha wanawake laivu wameacha kukidhamini kipindi hicho
Katika hali yakubabaika mwanadada huyo kageukia chama cha mapinduzi ili kimsaidie na kama hatua ya awali amesema atafanya kazi na serikali ya awamu ya tano
Njaaa ni hatari,pole kilewo,kosea kingine usikosee kuoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usipanic mjomba JF ni jukwaa huru...Sihitaji ushauri wako coz we ulipo ona comment yangu ukakimbilia kujibu
Watu inabidi wawe makini sana na haya maswala! Kuna waliobakia vilema mpaka leoSept 1st tutaokota mizoga mingi sana.. Sisi tupo tunasubiri sinema tuone nani mbabe wao na Magu.. Siku hiyo ata ambulance zitafungiwa akiyekatwa mguu akatibiwe Billcanas
Hivi kuna mtu alijitoa kama huyu? Ameishia kupata matusi kutoka kwa chademac njaa ni mapenzi ya dhati kwa mme wake aendelee kumwomba Mungu juu ya mme wke kwa sababu hii issue iko very serious
Hahaha kakangu mmakonde na bibie ataka wazunguNdo maana hakuolewa na kakako. Tulia tu usubirie hy sept 1 ukatwe miguu
aisee inasikitisha.....ukicheki makamanda wanaompondea joy hapa hata hio sept hawatakuwepo.. ni makamanda wa nyuma ya keyboards tu tehKaza kamanda kaza kamandaView attachment 378509
Nina kwambia wote watakuwepo humu Jf wakipost yanayo endelea mtaani. Unahitaji kuvuta bangi kwenda kuandamana.aisee inasikitisha.....ukicheki makamanda wanaompondea joy hapa hata hio sept hawatakuwepo.. ni makamanda wa nyuma ya keyboards tu teh
We mtu unajifahamu kweli? Unajoin 2016 na kuanza kuchangia yasiyohusu jukwaa hili. Hili ni jukwaa la Siasa, unaleta mambo ya ngono hapa!Sipigi punyetoo nashafanya sana ngono View attachment 378300
JF kuna vichwa..... Dogo ingia Google uje Joyce ni nani?
Halafu baada ya hapo mtu anachukuliwa kwenda The HagueSept 1st tutaokota mizoga mingi sana.. Sisi tupo tunasubiri sinema tuone nani mbabe wao na Magu.. Siku hiyo ata ambulance zitafungiwa akiyekatwa mguu akatibiwe Billcanas
Kama ilivyo kwa CCM! Imetokea kwa Lowassa, Sumaye, Mgeja; nakadhalika.....Unaweza kuitwa kamanda na sifa kede kede na chadema, lakini siku ukitofautiana nao utaanza tukanwa na kusemwa we msaliti na mengine kama vile sio wao waliokuwa wanakuita kamanda.
Imetokea kwa slaa ma mshumbusi, zitto, mpendazoe, sasa kwa joyce.
FastaaaKitu kimeibuka