Kutapatapa kwa Joyce Kiria; wanawake laivu yakimbiwa na wadhamini,ajikomba warudi

mrudisheni joyce kipindi chake,,,kwa kumfungia mnaonyesha,alikua sahihi
 
1470570969407.jpg
 
hahah ila joyce hana siri.... kumbe chadema alipokwama wakati mmewe yupo kifungoni hawakumsaidia zaidi walikuwa wanasema "komaa kamanda"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahahahahaha hawana maana kabisa hao!
 
Uyu alipanga kwenda kufanya shopping Dubai,baada ya mme wake kukosa ubunge kachanganyikiwa sana
Hio ndio root cause iliosababisha mengine yote. Usifanye masihara na dissapointment wewe! Ni kaneno kadogo kenye madhara makubwa depression ikiwa miongoni mwa aftereffects!
 
Hahahahahaha hawana maana kabisa hao!
hahah "komaa kamanda" duh... na alikuwa na watoto wawili wadogo wamefatana mmoja bado ananyonya.. ukiangalia joyce hajasoma kipato chake hawezi kuiendesha familia hawa wanamwambia akomae wakati wangeweza msitiri mke wa kamanda mwenzao
bado alivyolazwa ndani waliacha kwenda kumtembelea... very sad hicho chama cha makamanda kiboko[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Siasa za bongo ni vioja vitupu yani sijapata kuona mahala popote ulimwenguni...Yani watu wana upendo wa mshumaa kinoma! Unafungwa mota uende kwenye mapambano yakikukuta huko hamna anaejali kwamba wote mlikuwa na mission moja zaidi utaskia pole kamanda halafu watu wanaendelea na mishe zao utavuja damu mpaka ufe! Labda mkeo awepo jirani!
 
Joyce hamkanyi mume wake tu au hawaonei huruma watoto wake tu. Anazungumzia madhila yote yatakayozipata familia zinazojifanya. Yesu kubeba msalaba wa upupu kwa kisingizio cha demokrasia. Tumetangaziwa kuna wilaya zitakazokumbwa na njaa mbona huu ukuta hauzungumzii kuzuia njaa? Demokrasia ni nini? Ni kuweka familia yako rehani bila kujali mateso inayopata? Watu wanajitoa ufahamu na kuthubutu kudai wanapigania ukombozi wa watanzania. Kweli? Hivi mlikuwa wapi wakati maelfu ya watoto wa kitanzania wakikaa chini mashuleni mpaka alipokuja mzee wa kunguruma madawati yakanyesha kama mvua. Mnakoelekea siko. Hamtaki kuona wala kusikia. Naamini iko siku mtasahau hata majina yenu. Wanaombeza Joyce kuwa ni hgirl laiti hao wote wangkuwa kama yeye tz ingekuwa nchi ya viwanda ndani ya miaka m3.
 
Hajakosea dada wa watu,yeye kama mke ana haki yakumshaur mumewe na kumuongoza,yey sio fala amwone mumewe anashiriki ujinga akae kimya,amejifunza kwa mke wa Slaa alikua anaandamana na virungu anachezea mwishowe Chadema Ssacos ikauzwa kwa mhamiaji bila kushirikishwa
 
Nasubiri September mosi. Tuache kumsema mama wa watu. Yeye na Mungu ndiye anayejua maisha yake. Pia kila mtu ana maisha yake. Angalia yako, kama yamekushinda usimseme mwenzako. Chadema wao daily wapo sahihi... hii ni mbaya sana.
 
hahah ila joyce hana siri.... kumbe chadema alipokwama wakati mmewe yupo kifungoni hawakumsaidia zaidi walikuwa wanasema "komaa kamanda"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kuna uwongoo mwingine haunogi. Wote tuliona Chadema wanavyopambana Na kumpelekea mwanasheria.Joy kasema marafiki binafsi..halafu ingekuwa ivyo KILEO mwenyewe angekata Tamaa Joyce njaa inamuumbua.
 
samahani kamanda sikukuquote ulitakiwa uandike mawazo yako wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3],vipi wewe ndie kamanda uliekuwepo ili umsaidie joyce au na wewe unatetea tu makamanda wenzio? huo ndio ukweli hawakumsaidia ndio maana joyce kachoka, wanawake huwa hatuwezi huo ukomando kipensi wa uvumilivu kama wanaume, wangekuwa walisaidiwa leo joyce wala asingemkataza mmewe upo nyonyo
mtazamo wako jitahidi uandike independently bila kuniquote....
 
Joyce hamkanyi mume wake tu au hawaonei huruma watoto wake tu. Anazungumzia madhila yote yatakayozipata familia zinazojifanya. Yesu kubeba msalaba wa upupu kwa kisingizio cha demokrasia. Tumetangaziwa kuna wilaya zitakazokumbwa na njaa mbona huu ukuta hauzungumzii kuzuia njaa? Demokrasia ni nini? Ni kuweka familia yako rehani bila kujali mateso inayopata? Watu wanajitoa ufahamu na kuthubutu kudai wanapigania ukombozi wa watanzania. Kweli? Hivi mlikuwa wapi wakati maelfu ya watoto wa kitanzania wakikaa chini mashuleni mpaka alipokuja mzee wa kunguruma madawati yakanyesha kama mvua. Mnakoelekea siko. Hamtaki kuona wala kusikia. Naamini iko siku mtasahau hata majina yenu. Wanaombeza Joyce kuwa ni hgirl laiti hao wote wangkuwa kama yeye tz ingekuwa nchi ya viwanda ndani ya miaka m3.
kwanza ni mwanamke mkweli asie na unafiki wala uoga, it takes alot to be a woman mimi nimemkubali kiukweli
Hajakosea dada wa watu,yeye kama mke ana haki yakumshaur mumewe na kumuongoza,yey sio fala amwone mumewe anashiriki ujinga akae kimya,amejifunza kwa mke wa Slaa alikua anaandamana na virungu anachezea mwishowe Chadema Ssacos ikauzwa kwa mhamiaji bila kushirikishwa
kabisa kujitoa kote huko bado aliambulia matusi ama kweli chama kina wenyewe hicho,ngoja tutaona watakapovunjika wachache wengine tusikie familia zao zimewahi nje duh...
Nasubiri September mosi. Tuache kumsema mama wa watu. Yeye na Mungu ndiye anayejua maisha yake. Pia kila mtu ana maisha yake. Angalia yako, kama yamekushinda usimseme mwenzako. Chadema wao daily wapo sahihi... hii ni mbaya sana.
ukipingana nao tu kosa, yani upande huo wao ni mwendo wa kukubali hawawezi kuchuja hata kwa akili ndogo,[emoji28] [emoji28] [emoji28] nawacheka kwa dharau kwakweli
 
Back
Top Bottom