nxon JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,162 Reaction score 407 Jan 16, 2013 #1 wadau kila nikiswaki asubuhi huwa natapika nyongo. Nikisha tapika huwa nakosa hamu ya kula chakula kwasababu inaniletea kichefuchefu. Nawailisha wataalam.
wadau kila nikiswaki asubuhi huwa natapika nyongo. Nikisha tapika huwa nakosa hamu ya kula chakula kwasababu inaniletea kichefuchefu. Nawailisha wataalam.
mwajei Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 129 Reaction score 38 Jan 16, 2013 #2 We ni mwanamke au mwanaume, kwa mwanamke inawezekana ni ujauzito na mwanaume kama ni mlevi ni shauri ya pombe
We ni mwanamke au mwanaume, kwa mwanamke inawezekana ni ujauzito na mwanaume kama ni mlevi ni shauri ya pombe
nxon JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,162 Reaction score 407 Jan 16, 2013 Thread starter #3 mwajei said: We ni mwanamke au mwanaume, kwa mwanamke inawezekana ni ujauzito na mwanaume kama ni mlevi ni shauri ya pombe Click to expand... ni mwanaume mkuu pombe niliacha nna kama mwezi hv sijanywa pombe.
mwajei said: We ni mwanamke au mwanaume, kwa mwanamke inawezekana ni ujauzito na mwanaume kama ni mlevi ni shauri ya pombe Click to expand... ni mwanaume mkuu pombe niliacha nna kama mwezi hv sijanywa pombe.