kutapika nyongo

kutapika nyongo

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
407
wadau kila nikiswaki asubuhi huwa natapika nyongo. Nikisha tapika huwa nakosa hamu ya kula chakula kwasababu inaniletea kichefuchefu. Nawailisha wataalam.
 
We ni mwanamke au mwanaume, kwa mwanamke inawezekana ni ujauzito na mwanaume kama ni mlevi ni shauri ya pombe
 
We ni mwanamke au mwanaume, kwa mwanamke inawezekana ni ujauzito na mwanaume kama ni mlevi ni shauri ya pombe

ni mwanaume mkuu pombe niliacha nna kama mwezi hv sijanywa pombe.
 
Back
Top Bottom