Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hongera sana kwa Mawazo yakoNdoto ziendelee hadi tuhakikishe mtu anajikojolea.
Kuna uzi wa chips tayari upo ntaupost hukuBhange njema! Sio kwamba haiwezekani inawezekana ila hairuhusiwi na mabeberu! Siku tukianza kuunda hizo wao watakuwa wanaunda quantum ships!
Hebu tutengenezee hata baiskeli ya mfano achilia mbali kandambili za maonesho.Hongera sana kwa Mawazo yako
Kamwe kejeli na dhihaka hazitanizuia kutumia haki yangu ya kufikiri
Sio vipaumbele kwa wanaoongoza nchiHebu tutengenezee hata baiskeli ya mfano achilia mbali kandambili za maonesho.