Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Wakuu salama ? nimekuwa nikijiuliza zile mbinu za kutathimini miradi au biashara kama inalipa au la kama ville NPV, IRR, MIRR, PI, n.k wabongo mitaani zinatumika ? maana kila niki test sioni mradi unalipa, na kama unalipa unakuta risk yake ni kubwa sana na hakuna sustanability tafadhali naomba maoni yenu kwa wale wanaozitumia na aina ipi ya miradi inakubali kwa hizo test.....