Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Bei za nyumba haziendani na thamani halisi ya soko, zilijengwa kwa gharama kubwa sana za kipigaji, zinatakiwa ziuzwe kwa gharama kubwa kitu ambaco hakiwezekani.Hapa ndio wanapofeli, Serikali, Agency Zake Private sector zote hzi ina maana wmeshindwa kutafuta wateja ambao watakua wanalipa in monthly basis kama analipa rent huku anapunguza deni hata kama it will take 15-20 Years, Kwa maana ukiwapa wanafunzi wanazigeuza hostel ama?
Mbongo anaona bora ajenge mwenyewe kwa gharama nafuu hata kama itakuwa kwenye squatter area.
Au anunue kiwanja kilichopimwa ajenge mwenyewe.