beeper JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 253 Reaction score 106 Dec 14, 2014 #1 Wadau Leo nahitaji mnijuze zaidi kwanini hizi sehemu Za unyayoni kiunoni ,makwapani na sehemu zingine huwa na hali ya kujisiskia kusisimka (kutekenywa) Mara mtu anapokugusa taratibu?? Nini kinasababisha mtu kuisi kutekenywa na kuanza kucheka Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wadau Leo nahitaji mnijuze zaidi kwanini hizi sehemu Za unyayoni kiunoni ,makwapani na sehemu zingine huwa na hali ya kujisiskia kusisimka (kutekenywa) Mara mtu anapokugusa taratibu?? Nini kinasababisha mtu kuisi kutekenywa na kuanza kucheka Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,152 Reaction score 3,473 Dec 15, 2014 #2 Tangu jana mpaka leo no comment
fundicherehani Member Joined Sep 22, 2014 Posts 76 Reaction score 13 Dec 15, 2014 #3 kweli we beeper!!
W waits Member Joined Sep 2, 2014 Posts 38 Reaction score 16 Dec 16, 2014 #4 Nimesahau kwa mara ya mwisho nilitekenywa lini nikache,,, subiri waje watoto wanaweza kusaidia!!!!